Application Users Vs Browser Users


Piga kelele kwa browser akeee weuweee ZoΓ«
Yan huku tunatoa reactions, kama kitu cha kuchekesha nacheka halafu imeisha hiyo.

Huko uzeeni sasa mambo tafrani, ukiona comment ya kuchekesha mpaka umqoute mtu na wewe ndio ukachekee huko ooh ni wastage of time eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒ
 
Kujulikana unatumia jf ni msala kiasi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwiiii nilijikuta tu natumia browser kipindi kile cha nyuma enzi za maubuyu chitchat 😎 kwani ilinisaidia sana kupata tags kwa wakati hasa ile saa wambea tunatagiana yaani ilikuwa ukizubaa tu umepitwa. Lol. Cc. Rafiki Numbisa. πŸ˜€

Toka hapo ndio natumia hiyo na sionagi ugumu kutumia japo waliozowea App wanakwambia Browser ina mzunguko ambao mi hata siuoni.
 
Kama app ya JF ikifutwa nitapunguza sana kuperuzi

βœ“Nascroll tu chini hakuna kufungua mapage

βœ“Na-subscribe kwenye thread zenye mwendelezo mfano..uzi wa Manchester United,Uzi wa picha za vyakula,au ule wa Masihara..Pia na-subscribe nyuzi nanazotaka kuzisoma later on..

βœ“Pia iko snappy wakati una-navigate

βœ“Pia nafukua makaburi kiurahisi pia..sina uhakika kama kwenye browser inawezekana

βœ“Notification napata kama kawaida,so sina tatizo

#TeamJfApp
 
mzee umeua[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Viongozi wa jamii forum WAMELEWA SIFA.
haiwezekani tatizo la notification likawa sugu.
Mimi tangu March 26 sijapata notification hata huko kwenye web nako hovyo kabisa.
Cha ajabu ukimtukana mtu wanakulisha BAN fasta lakini matatizo yao hawataki kuyashughulikia

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…