Application Users Vs Browser Users

Kitu bora kwako ni lazima kiwe bora kwa kila mtu? Kila mtu anapenda kitu ambacho ni bora kwa upande wake.
Au kuna mtu apendi kitu bora, au unafikiri sisi tunaotumia web hatuna uwezo kui download hiyo app?
Alafu usipende kumuita mtu ni mbishi kisa akubaliani au haamini katika mawazo yako, huo ni udikteta
 
Kitu bora kwako ni lazima kiwe bora kwa kila mtu? Kila mtu anapenda kitu ambacho ni bora kwa upande wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana hata sio lazima kitu bora kwang kiwe bora kwa mwengine
Sasa si-ndio Maana nikasema Wewe useme umezoea Web browser kuliko Application (yani Simply umeiona bora)
Au kuna mtu apendi kitu bora, au unafikiri sisi tunaotumia web hatuna uwezo kui download hiyo app?
[emoji28][emoji28]Nani huyo kasema hamuwezi
Mbona mnaweza kuidownload
Alafu usipende kumuita mtu ni mbishi kisa akubaliani au haamini katika mawazo yako, huo ni udikteta
[emoji2][emoji2]Kwa mantiki hii Hakuna Mtu duniani anapaswa kuitwa Mbishi, Hakuna
Sijajua huy Mbishi ni Mtu gani Sasa

Haya bhana boss Kila mtu atumie aonach kilicho Bora [emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa browser wameanza kupaniki. Wao si ndio wanatuita sisi wazee
 
Yani Dada na wewe upo kwenye Kundi la
Browsers, TeamOperaMin, TeamGoogle Chrome, TeamFirefox [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kunichotesha dhambi bure Mimi.
Lakini nilikwambia toka mwanzo kwamba ulivyodhani ndivyo sivyo [emoji23][emoji23]
Naimba tu Mimi wimbo wa prof j na chameleon

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia

Unavyodhani ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo
 
Ai mie hata kama kitu kikinichekesha siyo lazima nioneshe kuwa kimenichekesha, nalike tu comment ya huyo mtu basi. [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shortcut zinaokoa muda.

Natumia zote ila browser is the best wallah
Cc: Zoë
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna kitu kama hiko aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…