Application Users Vs Browser Users

tabu ya browser ni pale unapopigwa ban hata kuingia kama guest haiwezekani dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unaclear caches/ history ya browser inakuwa imefuta browsing history yote. Unatinga kama guest.
Au kama unatumia opera, na ndio umefungiwa huko unaenda browser nyingine mfano mozilla. Unaendelea na shughuli kama guest au wale wa user nyingi anaingia na nyingine.
 
Ila kwenye browser siku hizi nina changamoto ya kuweka link ya youtube, nikitumia code hii
[Xmedia=youtube]hapa ni pasted url[/mediax] video inakataa kuplay.. sijajua ni nini..
hizo x nimeziweka ili isiweke link ya youtube, hazitakiwi ziwepo hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa browser wameanza kupaniki. Wao si ndio wanatuita sisi wazee
Wala atujapanic mamiloo
Nyie wa app ni wazee kweli ndio maana hata mmeekewa maandishi makubwa na dark mode coz macho yenu yameanza na yanaelekea kufaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizo marangirangi zote za nini, rangi saba kidogo kama upinde wa mvua khaa haipendezi bhana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Okay, mpaka hapa kama ni mpambano browser anaongoza.

Hawa wa app wasubiri marekebisho warudi upya kutetea app yao.
Hahahaaa. Wa App naona wana magazeti tu yasiyo na hata chembe ya ushawishi + tija sababu kukisifia kitu ambacho hakikidhi mahitaji kwako kwa100% ni vichekesho hivyo ujue. πŸ˜‚πŸ˜‚

Wasubirie kwanza hayo maboresho kama usemavyo Mtani sababu toka waanze kulalama kuhusu hiyo App si leo.

Cc. Mdogo wangu Next Man. Teh. (Kunijibu mwisho two lines)
 
Ila kwenye browser siku hizi nina changamoto ya kuweka link ya youtube, nikitumia code hii
[Xmedia=youtube]hapa ni pasted url[/mediax] video inakataa kuplay.. sijajua ni nini..
hizo x nimeziweka ili isiweke link ya youtube, hazitakiwi ziwepo hapo.
Mbona wengine tunaweka kawaida tu mkuu

 
Haha kukujibu mwisho two lines πŸ™ŒπŸ™Œ
Aone hii huyu bibi Zuu ZoΓ«
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…