Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Hahahaaa. Wa App naona wana magazeti tu yasiyo na hata chembe ya ushawishi + tija sababu kukisifia kitu ambacho hakikidhi mahitaji kwako kwa100% ni vichekesho hivyo ujue. 😂😂

Wasubirie kwanza hayo maboresho kama usemavyo Mtani sababu toka waanze kulalama kuhusu hiyo App si leo.

Cc. Mdogo wangu Next Man. Teh. (Kunijibu mwisho two lines)

Sawa, tuahirishe mpambano, maana naona hii imekuwa ligi ya upande mmoja.

Tusubiri wajipange upya kwa kusajiri hayo marekebisho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna saa unakuaga mtata. Sasa wenye magazeti yao wakayatupie wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Wa App naona wana magazeti tu yasiyo na hata chembe ya ushawishi + tija sababu kukisifia kitu ambacho hakikidhi mahitaji kwako kwa100% ni vichekesho hivyo ujue. 😂😂

Wasubirie kwanza hayo maboresho kama usemavyo Mtani sababu toka waanze kulalama kuhusu hiyo App si leo.

Cc. Mdogo wangu Next Man. Teh. (Kunijibu mwisho two lines)
 
Toka corona ianze nimepunguza sana kusikia radio, naona kama wanarudia rudia sana vitu.

Vipi lakini uchambuzi ulikuwa powa?
Kweli toka mambo ya simame siku hizi wanakosa kabisa vitu vya kuzungumza hivyo wanaungaunga tu

Yaah! Naona walimchambua vyema kabisa katika kumtofautisha na hasimu wake Cr7
 
Browser ipo juu hasa kwenye kuchokza watu wenye timu zao notification inafika faster ligi inaenda murua,tukana nikutukane,bisha nikubishie. Ban paap na ka meseji unakaona ila nawaomba mods kwenye ka sms ka ban wawe wanaweka na jina la mod aliyetoa ban ili hilo bifu alibebe
 
Kweli toka mambo ya simame siku hizi wanakosa kabisa vitu vya kuzungumza hivyo wanaungaunga tu

Yaah! Naona walimchambua vyema kabisa katika kumtofautisha na hasimu wake Cr7

Huwa wanaweka vipindi vyao YouTube, nitakitafuta hicho kipindi niwasikie.

Kuna siku nilisikia ile Sports Arena asubuhi wakimzingumzia Mwakalebela, jioni nikawasikia tena wanaendelea na topic hiyo hiyo, tokea hapo nikapumzika kuwasikiliza.
 
Hahah! Siku hiyo Mwakalebela alitrend sana hata wenyewe waliita ile siku ni Mwakalebela day 😀
 
Back
Top Bottom