Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mkuu vipi jana ulimsikiliza Ambangile na wenzie jinsi walimpamba Messi?
Hahahaaa. Wa App naona wana magazeti tu yasiyo na hata chembe ya ushawishi + tija sababu kukisifia kitu ambacho hakikidhi mahitaji kwako kwa100% ni vichekesho hivyo ujue. ππ
Wasubirie kwanza hayo maboresho kama usemavyo Mtani sababu toka waanze kulalama kuhusu hiyo App si leo.
Cc. Mdogo wangu Next Man. Teh. (Kunijibu mwisho two lines)

Hii ya majaribio;Mbona wengine tunaweka kawaida tu mkuu
Nimempa tahadhari tu huyu mdogo wangu mana ni mwandishi mzuri wa magazeti ili akiwa na mastori mengi apige tu simu ππ na sio kuniandikia mgazeeeeti huo ambao mwisho wa siku anasema App ikirekebishwa watahamia huku. π.Haha kukujibu mwisho two lines ππ
Aone hii huyu bibi Zuu ZoΓ«
Ok, nafikiri kuna mabadiliko kidogo. Imekubali. Mwanzoni nilikuwaga naweka / mbele ya url ila sasa naona inagoma. Nikitoa hiyo / inakubali.Hii ya majaribio;
Naona imegoma nayo!
Kweli toka mambo ya simame siku hizi wanakosa kabisa vitu vya kuzungumza hivyo wanaungaunga tuToka corona ianze nimepunguza sana kusikia radio, naona kama wanarudia rudia sana vitu.
Vipi lakini uchambuzi ulikuwa powa?
ππ wewe wakishua unazingua
Kweli toka mambo ya simame siku hizi wanakosa kabisa vitu vya kuzungumza hivyo wanaungaunga tu
Yaah! Naona walimchambua vyema kabisa katika kumtofautisha na hasimu wake Cr7
Hahah! Siku hiyo Mwakalebela alitrend sana hata wenyewe waliita ile siku ni Mwakalebela day πHuwa wanaweka vipindi vyao YouTube, nitakitafuta hicho kipindi niwasikie.
Kuna siku nilisikia ile Sports Arena asubuhi wakimzingumzia Mwakalebela, jioni nikawasikia tena wanaendelea na topic hiyo hiyo, tokea hapo nikapumzika kuwasikiliza.
Zako mwenyeweShwaini zako [emoji3]