Application Users Vs Browser Users

Aise nikajua ni kwangu tu kumbe ni wengi, yaani sasa hivi niko nahangaika na librowser hili natamani hata nitupe simu.
Ujue Mimi nafungua tangu saa9 haifunguki
Nimekomaa Hadi muda huu..nikaamua nilitafute tu librowser πŸ˜–
 
Sikujua muazisha mada ni
 
Ujue Mimi nafungua tangu saa9 haifunguki
Nimekomaa Hadi muda huu..nikaamua nilitafute tu librowser πŸ˜–
Mie nilikuwa busy tangu mchana, ndiyo nimegundua baada ya kushika tena simu jioni hii naona kitu hakifunguki.

Nikasema daah, naona sasa uongozi wa JF umeamua kuwapa watumiaji wa browser points za bure kabisa kuzidi kututukana.
 
Au ndio wanataka kutupia kile chombo kipya!?

Mimi najikaza tu kisabuni..naona Kama Niko kifungoni
 
Haki vile jana ulivyo ni tag nilijibu nikapotea mda huu ndio naona muazisha mada ni.....
Naanza kusoma comments moja baada ya nyingine πŸ˜€πŸ˜€
Hahah! Sawa mpendwa karibi sana ila unanirusha sana Roho na hiyo......

πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…