Application Users Vs Browser Users

Yaani wewe nahisi haujikazi mama, mie hapa nahisi natoka JF muda si mrefu na sirudi tena hadi app ifunguke kwahiyo mtu asiniquote tena hadi lini sijui.

Bora nifanye mambo mengine tu, browser ngumu sana.
Mimi mwenyewe natoka.
Huu ugumu wa kutumia Hili dude lao utadhani tunapambana kulima shambaπŸ˜€
 
Zinafananaje?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi nilijua sijui mtu gani kutoka huko usafwani ndanindani
Kanatisha aisee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama haya mengine ni ya kuongea chemba, hapa naogopa tutastukiwa bure maana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chizi wewe!

Kaamua kufunga hii debate kwa njia hiyo kuonyesha yupi zaidi
Huu mjadala tulishaufunga Jana na comments za Next Man
Huu mwingine unautambua wewe mwenyewe na MeloπŸ˜€
 
Browser, application hapana, nilijaribu ile app inakera. Alafu situmii JF kwenye simu kabisa, nikiwa nimekaa na laptop kunakua na tab pembeni, nikichoka nachungulia.
Personally napenda screen kubwa, website ikijaa kwenye screen una-absorb information kibao kwa wakati moja, unaskip wanaojifanya kuanzika paragraph 800 za upuuzi.
 
Halafu nadhani anatumia browser yule
Niliona ile siku amenibadilishia jina.
Ulionaje ?? Mie niliona kwenye ile video yake ya tutorial youtube aliyokuwa anaelezea namna ya kutumia JF sema ilikuwa katika desktop version !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…