Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Yaani wewe nahisi haujikazi mama, mie hapa nahisi natoka JF muda si mrefu na sirudi tena hadi app ifunguke kwahiyo mtu asiniquote tena hadi lini sijui.Au ndio wanataka kutupia kile chombo kipya!?
Mimi najikaza tu kisabuni..naona Kama Niko kifungoni
Bora nifanye mambo mengine tu, browser ngumu sana.