Kwani ni mara ngapi watumiaji wa App wanalalamika kwamba hawapati notifications na wakaahidiwa kwamba tatizo litatatuliwa? Baada ya kupewa hizo taarifa waliacha kulalamika au hadi leo bado wanalia tu kama siku zote?[emoji1]Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?
Moderator wameshafanya kazi yao ya kutoa taarifa sehemu husika na Mafundi wanalijua kitambo. Ndio Maana wamesema kufikia tarehe moja mei mosi tatizo limeshakua Solved ..Unaposema Mods wanashindwa nini kutatua hili tatizo ? Watatuaje tena Yani Taarifa wahusika si wanayo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi bado nasubiri majibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani umeulizwa wewe kama umenirudia sasa mimi najibu nini tena?
#usikwepemajukumu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwani ni mara ngapi watumiaji wa App wanalalamika kwamba hawapati notifications na wakaahidiwa kwamba tatizo litatatuliwa? Baada ya kupewa hizo taarifa waliacha kulalamika au hadi leo bado wanalia tu kama siku zote?
Sasa kufanya hivyo haimaanishi kwamba wahusika hawana taarifa bali inakuwa kama ni kuwakumbusha kumbusha tu mzee
Ndo mmeamua kuhamishia huku huu uchizi wenu?[emoji23][emoji23]
Hahah! Siwezi kukufikia
Hata mimi bado nipo njiapanda kwakweli, bado nabembea sijielewi nipo juu au nipo chini. Bora umemuuliza hili swali
#ajehapaajibu
😂😂😂😂
Jamani umeulizwa wewe kama umenirudia sasa mimi najibu nini tena?
#usikwepemajukumu
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hembu acha kujilinganisha na vitu vya ajabu weweHahah! Siwezi kukufikia
Naona mmeamua kuja kuchekea huku.Hahah! Utamuweza huyu Mndali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo mmeamua kuhamishia huku huu uchizi wenu?[emoji23][emoji23]