Application Users Vs Browser Users

una edit
Sent using [Samsung galaxy s10]
 
1.app haina uwezo wa ku save thread ili kuweza kusoma offline ila browser inayo .pia haina uwezo wa ku access notifications zote kwa pamoja ,inaonesha notifications chache tu.
2.Browser imeondoa limitations hizo apo juu na kuongeza za kwake ambazo ni inachelewa kuleta notifications na pia inakuhitaji ku refresh page ili kuweza kufanya real time update ya kinachoendelea kwenye uzi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu napenda Browser zaidi ya application.

Sababu ni kuwa kila kitu kimepangwa na utaratibu wake na tena sio lazima mtu atoke kwa uzi ndiyo akasome notifications akiwa kwa browser.

Pale juu unapata vitu zote kuanzia notifications, messages, profile, search button na menu kuu ya JF zote ziko pale juu kwa corner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…