The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kwan kuna kuchambana ipi tenaBasi mie sipendi kuchambana kama ndio hivyo
Sijui ndio maana niliulizaKwan kuna kuchambana ipi tena
Mambo ya mpenda maua hayoView attachment 1425097
Kwenye app hamna hayo mambo
😂😂😂😂😂😂 itabidi tukatafute kamusi.Kwan kuna kuchambana ipi tena
😀😀 wewe umeshindwa kumpa acha mimi nimpeMambo ya mpenda maua hayo
Mimi natumia browser na nimeweka dark mode ile ya kwenye setting ya browser ninayotumia
Ndio haohao.Free data ndio nyie wa free basics?
Hahah kweli?Ungeona jinsi alivyokukataa leo wala usingesema hivi 😁
Kama umeruhusu..mbn mi hakunaHao Tapa wana fujo kishenzi na notifications zao kwenye email
Ya samsung?Natumia hii "Internet" yenye logo ya Dunia
View attachment 1425116