carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehehe
Ile siku nilipita kimyakimya..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikawa naona King anatumbua tu macho anashangaa namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza Bwana.Kila siku tunakuambia huwezi ila wewe mbishi
Lini? [emoji16]
Unamuona? Unamuona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaruka vihunzi huyo
Hahah! Kwani ni simu kweli au unatumia Computer? 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap
Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.
Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah[emoji134][emoji134][emoji134]Mtambo huu.[emoji23]
Kumbe ilinitunzia WhatsApp video za toka mwaka juzi.
Nilikuwa najiuliza mbona inajaa haraka,kumbe imebeba vitu vya miaka na miaka.
View attachment 1427269
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap
Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.
Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo muulize huyo mdaka chozi ndio mtaalamuNaweza Bwana.
Usinichukulie poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siamini mimi
Muulize biashara inaendeleaje[emoji16][emoji16]
SimuHahah! Kwani ni simu kweli au unatumia Computer? [emoji3]
Eti mimi tena ndio nimemuacha jamani [emoji3][emoji3]
Yale maua yake na th[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize biashara inaendeleaje[emoji16][emoji16]
Ipo inaitwa kvant muulize hata ankoo atakwambia[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Naweza Bwana.
Usinichukulie poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zipo muulize huyo mdaka chozi ndio mtaalamu
Mdaka chozi?[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849]Zipo muulize huyo mdaka chozi ndio mtaalamu
Nitajaribu siku mojaIpo inaitwa kvant muulize hata ankoo atakwambia[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Vipi uliitunza?Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser[emoji1787]
Akawa anashangaa huyu kafikaje huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye browser ipo 53,000
Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app