Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Ndio maana mara nyingi tukikutag unakuwa huna habari kumbe umekomaa na App yako, shauri yako mambo mazuri yanakupita [emoji3]
Hahaha muongo wewe notification huwa naangalia kwenye browser ila nikichati hivi nachat kwenye app. Yaani naangalia notification kwenye browser, nakariri ni post namba ngapi kisha nakuja kujibia kwenye app
 
Mimi app pekee ambayo ninaweza kutumia ni whatsapp na instagram tu, jamiiforums, facebook, twitter natumia browser. App huwa naona zinaniyeyusha.
Unavyofanya ni kama mimi tu hizo nyingine kutoa WhatsApp na IG natumia browser ila nimezicreatia shortcut kwenye home creen
 
😂😂😂😂

Au akikufurahisha una 🤣 tu haina haja ya kumquote, ila kama wenyewe hawana hizi options sasa tukudislike post zao kule kwao wanaambiwa umefanya nini au inageuka like?
Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.

Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
 
Mimi natumia "Browser" sababu wake zangu hawapendi kabisa niwe katika hii mitandao ya kijamii zaidi ya "WhatsApp".

Ahsante.
Hahah! Umesomeka Ostadhi, wasalimie hao mabibie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au akikufurahisha una [emoji1787] tu haina haja ya kumquote, ila kama wenyewe hawana hizi options sasa tukudislike post zao kule kwao wanaambiwa umefanya nini au inageuka like?
Dislike kwenye app hakuna ila kama kuna mtu kakupa dislike ukiangalia kutumia browser inaiona
 
Hahaha muongo wewe notification huwa naangalia kwenye browser ila nikichati hivi nachat kwenye app. Yaani naangalia notification kwenye browser, nakariri ni post namba ngapi kisha nakuja kujibia kwenye app
Hahah! Umezidisha mapenzi kwenye App mpaka browser inachukia inabidi baadhi ya mambo ikusaliti tu...

#Umesomekavizurikabisa
 
Back
Top Bottom