Hahaha muongo wewe notification huwa naangalia kwenye browser ila nikichati hivi nachat kwenye app. Yaani naangalia notification kwenye browser, nakariri ni post namba ngapi kisha nakuja kujibia kwenye appNdio maana mara nyingi tukikutag unakuwa huna habari kumbe umekomaa na App yako, shauri yako mambo mazuri yanakupita [emoji3]
Unavyofanya ni kama mimi tu hizo nyingine kutoa WhatsApp na IG natumia browser ila nimezicreatia shortcut kwenye home creenMimi app pekee ambayo ninaweza kutumia ni whatsapp na instagram tu, jamiiforums, facebook, twitter natumia browser. App huwa naona zinaniyeyusha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya maswali yatakuwa ya kubomoa tu haya [emoji16][emoji16]
Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.😂😂😂😂
Au akikufurahisha una 🤣 tu haina haja ya kumquote, ila kama wenyewe hawana hizi options sasa tukudislike post zao kule kwao wanaambiwa umefanya nini au inageuka like?
Mambo yatakuwa bombaKw mujibu wa max app itakuwa poa sana 1may watakapoachia update kwa sasa tutumie browser
I miss you.
Huyo wa pili uliongeza lini vile?Wawili mwakani naongeza "Chuma" cha tatu ndani, sisi kazi yetu kuoa tu.
Salamu zako zimeishia hapa mzee, hazifiki kwao kaka mkubwa.Hahah! Umesomeka Ostadhi, wasalimie hao mabibie
Browser tumewaachia maandaeitini kina king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I miss you.
Turudi kwenye mada,wewe ni mzee(unatumia app)ama kijana(unatumia browser)kwa mujibu wa mtoa mada
Ana mwaka na miezi mitatu na siku tisa sasa.
Dislike kwenye app hakuna ila kama kuna mtu kakupa dislike ukiangalia kutumia browser inaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au akikufurahisha una [emoji1787] tu haina haja ya kumquote, ila kama wenyewe hawana hizi options sasa tukudislike post zao kule kwao wanaambiwa umefanya nini au inageuka like?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Browser tumewaachia maandaeitini kina king[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u more dear[emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuwa tunapata direct notifications pia umurua wa matumizi bado ipo kwenye majaribio hawajaiachia
Hahah! Umezidisha mapenzi kwenye App mpaka browser inachukia inabidi baadhi ya mambo ikusaliti tu...Hahaha muongo wewe notification huwa naangalia kwenye browser ila nikichati hivi nachat kwenye app. Yaani naangalia notification kwenye browser, nakariri ni post namba ngapi kisha nakuja kujibia kwenye app
Kama app hii pamoja na kutopata notifications lakini bado naburudika.Tutakuwa tunapata direct notifications pia umurua wa matumizi bado ipo kwenye majaribio hawajaiachia
Mmh umebadili ID?Sweeettie