Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
HapanaSi ile ile Utiyai Ama [emoji1][emoji1]
I'm on that good kush and alcohol
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaSi ile ile Utiyai Ama [emoji1][emoji1]
I'm on that good kush and alcohol
🤗🤗🤗🤗😁😁😁
🤗🤗🤗🤗
Kila siku na ahadi mpya😂😂Kishakua kama Mwanasiasa sasa
Mie mzima.Haha shauri yako..
Mimi mzima hofu kwako tu..
Kumbe mapema sana unaamka!?
The only thing to fear is fear itself
Kama unatumia tapatalk notifications unapata kama kawaidaHvi nyie mnaongelea notification zipi!!?
Mbona mie nazipata japo nipo kwenye App!!?[emoji4][emoji4]
The only thing to fear is fear itself
Eti nimeambiwa nimuache kwini porini peke yake#mtaniHapoKwaKwiniHapo
#kwaniKunaNini?
Pole na hongera sana mzee wa usiku kwa usiku😂😂😂😂
Noma sana aisee
#mambomamboyanabana
Sijui nikazie hoja🤔🤔
😂😂😂😂S
Sijui nikazie hoja🤔🤔
Carba hivi huko kwenu kuna maspecialist wazuri wa ENT?Pole na hongera sana mzee wa usiku kwa usiku
Kabla ya kujua kama nakutetea au la, inabidi tutambulishane kwanza.Eti nimeambiwa nimuache kwini porini peke yake
Huu huu wa App vs Browser.Au muafaka ushapatikana?Upi tena kaka yangu kipenzi..?
#mbonakamaNahujumiwa
Mie natumia App sana ila nikijisikia kumwaga 😀 na wakati wa shida kama hivi nahamia Browser😆Huu huu wa App vs Browser.Au muafaka ushapatikana?
Jf kwakweli hii app wangeachana nayo tu ili tuzoee browser mana ni pasua kichwa kweli kweli, licha ya Maxence Melo kuahidi mei1 itakuwa bomba lkn bado wembe ule ule, tunaipenda Jf app lkn imeshindwa kuwa reliable kabisa, ngj tuzoee browser japo nayo inasumbua tutafanyeje wkt jf ndo ishakuwa km kileviMie natumia App sana ila nikijisikia kumwaga 😀 na wakati wa shida kama hivi nahamia Browser😆
Mod One ☝☝Jf kwakweli hii app wangeachana nayo tu ili tuzoee browser mana ni pasua kichwa kweli kweli, licha ya Maxence Melo kuahidi mei1 itakuwa bomba lkn bado wembe ule ule, tunaipenda Jf app lkn imeshindwa kuwa reliable kabisa, ngj tuzoee browser japo nayo inasumbua tutafanyeje wkt jf ndo ishakuwa km kilevi
Heeh! Umefuta picha?Nilipenda utaratibu ulioko hospital.
Watu wanazingatia maagizo ya wataalamu wa afya.
Sent using Jamii Forums mobile app