Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Tafsiri ya uzee imekuwa pana siku hizi
Jamaa pale juu amesema App Ni yetu wazee,Umeanza sasa [emoji3]
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mara nyingi naonaga unaamka na upepo wa Browser
Hivi mnawezana vipi na pages?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!
Swali ni moja tu[emoji23][emoji23]Haya ngoja tusubiri hayo maswali
Loh eti bwana Mdogo [emoji38][emoji38]Umeeleza vizuri sana, umeandika mambo mengi ambayo mimi nilikuwa naona uvivu kuyaandika, safi sana bwana mdogo
Yaani achaa tuu sahivi Kuna tangazo la Corona mara ulibonyeze linakupereke kweny Corona [emoji53] hapo umeshawaambiwa Don't show this again kwenye tangazo la Push notifications[emoji849]Aya ya pili toka mwisho
Mara kule chini unakutana na kauli mbiu
Where we dare to talk openly
Mara sijui Nini
Sijui privacy..vitu vyote vimejazana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ku enable dark mode kwenye chrome browser yako kwa kufuata huu utaratibuTatizo la browser huwezi kupata JF kwa Dark mode ila app unaweza...!
All in all natumia chrome browser.
Nafikiri ni ile kuzoea kutumia JF kwenye PC zaidi, na browser kwa sehemu kubwa inafanana na JF on PC.
😂😂😂😂😂 nimependa vile amekiri eti "ni kweli watumiaji wa App umri wetu umesogea"Jamaa pale juu amesema App Ni yetu wazee,
Mimi Ni Nani Hadi nipinge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi najiunga JF nilikuwa nashangaa sana watu wanaotumia browser...nilikuwa natumia APP tu
Ikaja kutokea nikanyang'anywa simu,ikabidi niwe naingia JF kwa kutumia PC hadi sasa sijioni nikizoea kutumia APP
Kwanza kuingia tu kwenye hiyo browsers ina complication utadhani barua ya kuomba kazi .Loh eti bwana Mdogo [emoji38][emoji38] Yaani achaa tuu sahivi Kuna tangazo la Corona mara ulibonyeze linakupereke kweny Corona [emoji53] hapo umeshawaambiwa Don't show this again kwenye tangazo la Push notifications[emoji849]
Hahahaha tunasubiri Ahadi waliotoa kuhusu markebisho Kwny App
At least utumie browser kwa Computer [emoji3][emoji3]
Ndo mana tunapishana sasa na ile formula yetu mpya.Aah! Sisi kwetu hilo wala sio tagizo, wenyewe tunaenjoi vizuri kabisa
Nimeshauliza kule nasubiri jibuEmbu uliza hapa [emoji3]
Mbona Sijamaliza pale Kaka [emoji38][emoji38][emoji38]Hahah! Jamaa kafunguka mpaka mwisho eti vidude vya kushare WhatsApp...
Kwanza nyie watu wa App hata lile bandiko la kuhusu tahadhari ya Corona mnaliona kweli?
Ewaraaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa vile amekiri eti "ni kweli watumiaji wa App umri wetu umesogea"