Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ukipigwa ban, delete history kwenye browser yako. Ukishafanya hivyo unaingia bila shida, ila ukijaribu kulogin inabidi zoezi la delete history lijirudie tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina mpango wa kuiacha.
Hapana, hatuoni chochote sie tunaona like tu, labda hiyo app mpya Itakuwa na features hizo zingine, na ikija na hizo features wazee wa browser mtaambia nini watu[emoji23][emoji23]Sisi tunataka kujua mkiwa huko huko kwenye App mtu akidislike huwa inakuwa like?
Aisee app ni nzuri sana kwangu. Notification ndio haziji kama zamani ila nikifungua sehemu ya notification naona ingawa zinakuja quotes tu kama nimemensheniwa sipati [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nadhani wepesi au ugumu unategemea wakati unajiunga ulianza na nini
Mwisho wa siku sote tunategemeanaMimi natumia browser, ila nikitaka kupitia profile ya mtu ndo nafungua App ili niweze kuona threads alizoanzisha ninayemtafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa pension mnajulikana tu [emoji23]
😂😂😂😂😂😂 Daah!Application Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)
Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF [emoji35][emoji35] ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history [emoji16])
Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)
Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka [emoji38][emoji38]
Bado Kuna mambo ya pages browser unavinyeza Kule juu Au chini 1 2 3 .... 5 next
Kwenye App unashuka tuu utajua mwenyewe kimpago wako pages zinajihesabu [emoji38][emoji38][emoji38]
Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu [emoji7]
So far unaweza kusubscribe forum you want
Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa [emoji38] huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are [emoji38][emoji38][emoji38] ni vitu vizuri lakini Vina kera
Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh [emoji16][emoji16][emoji16]
Si unabadilisha browser tutabu ya browser ni pale unapopigwa ban hata kuingia kama guest haiwezekani dadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo vipi?
Mwisho wa siku sote tunategemeana
Ndio maana yake[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!
Tafsiri ya uzee imekuwa pana siku hiziIla App imekaa kizee sana, hata font tu ni ya kizee kizee.
Huku kwenye browser unakuwa kama kwenye PC vile.
Nimekusubiri hadi nasinziaDaaaah! Poa nakuja PM