carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Kwahiyo mzee siku hizi umeamua kuwa kama Bradha unaonekana usiku tu??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole kwa uchovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mzee siku hizi umeamua kuwa kama Bradha unaonekana usiku tu??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole kwa uchovu
Mimi hata sina uhakika kwakweli.Kwani ni Baba yake!??[emoji848][emoji848][emoji848]
The only thing to fear is fear itself
Haha shauri yako..Mimi hata sina uhakika kwakweli.
Hujambo?
Hvi nyie mnaongelea notification zipi!!?Baba ake anne anazidi tusogeza siku mbele tu
Sijui anatuonaje[emoji848]
Huyo nilishamwambia hata kabla sijacomment hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaacha App laoUnaipenda lakini inakutenda daily [emoji23]
Wazee wa Mei mosi bwana
Melo amekuwa mswahili.Muwe na subira jamani mbona jazba kama hivyo?
Wajaribu kuiacha App isumbue halafu utaona kama utaniona humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna jeuri hiyo
Halafu nimemtag ila haji kujibu malalamiko yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo huyu mtoto ni mbishi sana
Anamuamini mnoo baba yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba ake anne anazidi tusogeza siku mbele tu
Sijui anatuonaje[emoji848]
#mtaniHapoKwaKwiniHapo#mjininitaruditu
#namuachajekwinipekeyakesasa
Akasemaje baada ya kumwambia? Maana huyo nae huwa anajifanya ana mapenzi ya dhati na li appHuyo nilishamwambia hata kabla sijacomment hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app