Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Mie natumia App sana ila nikijisikia kumwaga 😀 na wakati wa shida kama hivi nahamia Browser😆
Jf kwakweli hii app wangeachana nayo tu ili tuzoee browser mana ni pasua kichwa kweli kweli, licha ya Maxence Melo kuahidi mei1 itakuwa bomba lkn bado wembe ule ule, tunaipenda Jf app lkn imeshindwa kuwa reliable kabisa, ngj tuzoee browser japo nayo inasumbua tutafanyeje wkt jf ndo ishakuwa km kilevi
 
Mod One ☝☝
 
Back
Top Bottom