Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Faida za browser
-Instant notifications
-Alerts pale juu
-Reactions nyingi zaidi
-Urahisi wa kuquote kipande tu cha post

Faida za app
-Dark mode
-Scrolling bila pagination

Natumia app. Scrolling ni muhimu sana kwangu.

Naamini technical team wanafanyia kazi scrolling kwenye browser na soon tutaletewa.
 
Una nasal polyps??
Hawajawahi kukupa spray??
Hizo nasal spray ninazo
Na Jana wamenipa hiyo
Nimezitumia Hadi basi
IMG_20200506_205749_6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom