Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Sasa huyu dkt angenambia tu yeye hakati.
Amenizungusha wee..

Dkt wa mwanzo nilimuelewa vizuri maana alisema ni ngumu kujua Nini kinasababisha na ni ngumu kuepuka maana ndio mazingira unayoishi kila siku.

Ila pamoja na yote, perfume siachi wallahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawah fanya allergy test?kujua ni nini hasa uko allergic nacho?
 
Back
Top Bottom