Tuni Comics
Senior Member
- Dec 29, 2021
- 129
- 33
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana mkuu kwa kushare nasi. Tumefurahi sana kuona app yetu kwenye simu yako na kama utapata shida yeyote usisite kutueleza.
Kwasasa hatupo kwenye ios lakini tupo kwenye mchakato wa kuiweka huko na ikiwa tayari tutawajulisha kwenye huu uzi.Ios amna
Umenichekesha sana. Isijekuwa unamruhusu Junior wako apitie mitandao bila uangalizi mkali sana.Acha roho mbaya unataka Mimi junior nisi comment apa.
Ni kweli utandawazi haukwepeki. Cha muhimu ni kuweka misingi mizuri ya matumizi ya simu. Pia ni muhimu tukumbuke kila kitu kina umri wake. Mtoto mdogo hatakiwi akutane na mambo ya watu wazima mpaka atakapofikia huo umri.mpe simu isiyokuwa na laini.
Utandawazi haukwepeki.
Kama sio kwenye simu ataona kwenye TV
Ndio mkuu tutaendelea kuona kadiri watoto wanavyokua kwa simu na mitandao.Ahsante kwa taarifa, ngoja tuone...
Kuna baadhi ya wazazi/walezi wanawaachia watoto simu karibia siku nzima ili watulie. Wengi hawapo hivi lakini kuna wachache wameanza hii tabia kwa kufikiri ni wajanja na wasasa kuliko wengine.Siku hizi kumezuka mtindo wa kumwaachia mtoto mdogo simu kwa muda mrefu sana ili "kumkeep busy" asiwe msumbufu. Anacheza gemu na kuangalia katuni. Hii ni hatari sana.
Mimi ndo junior.Umenichekesha sana. Isijekuwa unamruhusu Junior wako apitie mitandao bila uangalizi mkali sana.
Basi sawa. Wewe na mzazi wako mnavunja sheria za Jamii Forum.Mimi ndo junior.