SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia
Hujifunzi lugha bila kuifanyia mazoezi. Kufanyia mazoezi lugha ya Kiingereza pakua app ya Tuni Comics kwenye Google Play store
H A P A
Usiache kutumia app ya Tuni Comics inayopatikana kwenye
Google Playstore ujifunze Kiingereza kwa Kiswahili kutumia katuni fupi za kuvutia.
Toleo jipya la app ya Tuni Comics limetoka kwa wenye simu za Android 👉🏽
Tuni Comics - Apps on Google Play
Tuni Comics ni app ya katuni za watoto za kuwasaidia kujifunza Kiingereza mtandaoni. Katuni hizi zinaweza kupakuliwa ili zisomwe bila mtandao.
Kwenye toleo hili, katuni zetu zina sauti ambapo unaweza kusikia matamshi fasaha ya maneno mbalimbali ya Kiingereza na Kiswahili
Kwa maswali, maoni, ushauri, malalamishi nk. wasiliana nasi hapa au kwenye mitandao ya kijaamii 👇🏼
Tiktok
Facebook
Instagram
Twitter
Pakua app ya
Tuni Comics uone aina mbalimbali za katuni kama za hesabu, hadithi, stadi za maisha, nk.
Jifunze kuhesabu kwa Kiingereza na Kiswahili kutumia katuni ya 123 kwenye app ya
T U N I C O M I C S
Pata katuni za kuelimisha na kuburudisha kupitia app ya
Tuni Comics
Katuni za watoto za kujifunzia kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili zinapatikana kwenye app ya Tuni Comics. Ipakue app hii
h a p a.
Tuni Comics inawatakia sikukuu njema na tunawashukuru kwa kuwa nasi mwaka mzima.
Heri ya mwaka mpya 2025. Tunawatakia mwaka wenye mafanikio na tuendelee kujifunza na
Tuni Comics kama ilivyokuwa miaka iliyopita.