SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia

Je ni sawa watoto wadogo (chini ya miaka 5) kutumia simu janja na mtandao?

  • Ndiyo ni Sahihi

    Votes: 12 21.1%
  • Si sahihi

    Votes: 31 54.4%
  • Inategemea, mambo yote yana uzuri na ubaya wake

    Votes: 14 24.6%

  • Total voters
    57
Hujifunzi lugha bila kuifanyia mazoezi. Kufanyia mazoezi lugha ya Kiingereza pakua app ya Tuni Comics kwenye Google Play store H A P A
 
Usiache kutumia app ya Tuni Comics inayopatikana kwenye Google Playstore ujifunze Kiingereza kwa Kiswahili kutumia katuni fupi za kuvutia.
 
Untitled29_20240717185511.jpg


Toleo jipya la app ya Tuni Comics limetoka kwa wenye simu za Android 👉🏽 Tuni Comics - Apps on Google Play

Tuni Comics ni app ya katuni za watoto za kuwasaidia kujifunza Kiingereza mtandaoni. Katuni hizi zinaweza kupakuliwa ili zisomwe bila mtandao.

Kwenye toleo hili, katuni zetu zina sauti ambapo unaweza kusikia matamshi fasaha ya maneno mbalimbali ya Kiingereza na Kiswahili

Kwa maswali, maoni, ushauri, malalamishi nk. wasiliana nasi hapa au kwenye mitandao ya kijaamii 👇🏼

Tiktok
Facebook
Instagram
Twitter

20240722_164848.gif
 
Katuni za watoto za kujifunzia kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili zinapatikana kwenye app ya Tuni Comics. Ipakue app hii h a p a.
1734874358259-370f59a9-a125-4342-bf54-8606201cc57d_.jpg
 
Tuni Comics inawatakia sikukuu njema na tunawashukuru kwa kuwa nasi mwaka mzima.
1735136880507-f7efc508-0ed3-408e-9571-e61f74edb1dc_.jpg
 
Heri ya mwaka mpya 2025. Tunawatakia mwaka wenye mafanikio na tuendelee kujifunza na Tuni Comics kama ilivyokuwa miaka iliyopita.
Image_to_post_.jpg
 
Back
Top Bottom