KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

allymshindo

New Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2
Reaction score
2
Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima.

Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki na kumfanya mtu kufikiri kuwa huenda amedukuliwa.

Wahusika wamemaliza kimya bila kulitolea ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom