hmaloh
Senior Member
- Nov 22, 2018
- 162
- 314
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.
Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!
What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala