Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.

Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!

What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala
Pole mkuu,Mimi waliniita tapeli na kuwapigia jamaa zangu na kunitisha wananifuata na kunipeleka mahakamani, Sasa nilitaka kuwalipa, namsubiria hiyo mahakama Yao
 
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.

Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!

What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala
Tofauti hapo ni kuingilia mfumo wa mawasiliano yako lkn kutangazwa hata Bank huwa wanatangaza kwa kutumia vipaza sauti na kuzunguka mji mzima.
 
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.

Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!

What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala
Watanzania ni wagumu sana kulipa madeni Kuna watanzania baadhi nilishawahi kuwakopesha mwisho wakaishia kuniwekea bifu
 
Dawa ya deni kulipa mkuu. Mnafundishana ufisadi?
Naona umenikasirikia bure tu... Utakua umeajiriwa kutuma msg kwa ndugu wa wadaiwa, nasikia mnalipwa shilingi 300 mteja akilipa deni 😂😅 sasa mnanitumia msg mimi ambaye wakat unamkopesha ndug yangu hukunishirikisha halafu leo unataka nilipe deni lake mna akili kichwani au mmejaza mavi..?
 
Mshauri ndugu yenu alipe tu sio kufundishana jinsi ya kukimbia deni.
Naona umepaniki mpaka kuweka lugha za ukakasi. Uko njema?
 
Nenda kwenye app bonyeza kama sekunde tatu hivi kisha chagua app information kisha kataa hizo allow.
Hapo utawaweza.
 
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.

Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!

What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala
Shida hamsomagi.....app mwanzoni kabisa zinaombaga ruhusa yako ili zipate access ya vitu tofauti kwenye simu yako wengi mnakubaligi ndo hayo yanatokea
 
Back
Top Bottom