Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.

Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!

What a shame ila kuna haja ya mamlaka ya mawasiliano kuliangalia hili suala
 
1. Dawa ya deni ni kulipa. Ungelipa kwa wakati yote yasingekukuta.

2. Jifunze kusoma kabla ya kukubali chochote, iwe ni soft ama hard copy.
Watu wa mikopo hawaja hack simu yako. Wewe umewapa ruhusa ya ku access simu yako pale ulipo download app na kubonyeza ok kwenye kila swali ikiwemo kuruhusu app ku access contact zako.

Wenge lako la kupata mkopo limepelekea kutoa ruhusa kwa faragha yako kuingiliwa.

Saa hizi mchepuko wako anacheka kuona msg kuwa akuambie ulipe deni la elfu 40.
 
Well ni wewe user umewapa hiyo access. Husomi terms and conditions halaf pia kwenye simu ume allow access ya app kusoma contact zako
 
Hapo ni Wakenya wamejichanganya kidogo na Wanigeria mnalilia hivi wakija Wasenegeli hata nafasi ya kulia humu hautaipata maana wale hawachezi na hela za kwenye simu wao wanaangalia ule unaolipwa kupitia Bank nachoshukuru huku EA hawapo..
Ngoja waje wa Romania au wa Bulgaria wafunge kazi

Ova
 
Ni wewe mwenyewe huwa unaipa ruhusa hiyo application ya ku access contacts baada ya kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…