MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
.Na download kiaje hii app nataka niwakope sasa hivi.
Haipo hivyo, hawa jamaa wanaenda kwenye contacts za mdaiwa wao halafu wanachagua namba na kuzitumia sms ya kuwa Wanamdai mhusika na uwasaidia kumwambia alipe deni Lao..Kilichofanya usilipe deni lao ni kipi?
App gani?
Wanaokopesha wako mamia
Nenda Facebook wanajitangaza, chukua mkopo then pesa ikiingia block kama nilivyokuambia ili kuepuka udhalilishaji. Ila ukipata pesa walipe
.
Yes.Mkuu kwa hiyo iwapo mara ya kwanza uliwaruhusu, then pesa imeingia halafu ukuwablock access wanakuwa hawana zile contacts walizo-access mara ya kwanza?
Mbona wajinga sanaYes.
Namba wanabaki nazo labda simu yako isiwe na contacts kabisa.Hizi ni pesa za bure kabisa kopa walipe mpaka uweze kukopa laki 9 ,fanya kama mimi block Access,kisha futa app na kuwa mkali kwa kila simu ,wanakuacha maana ni matapeli hawana kibali popote cha kukopesha