Appreciation posts za wachezaji wa Simba kwa Mo Dewji

Appreciation posts za wachezaji wa Simba kwa Mo Dewji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hizi ni post za baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba Sc,wanajua kazi anayofanya Mwenyekiti wao.

Wanajua njaa ya wachezaji wenzao timu zingine.

Leo hii Simba ni timu kimbilio ya kila mchezaji Afrika hii.

Leo hii Simba ni timu ya 12 Afrika.

Ukitumika tumika kwa akili, usitumike vibaya


Screenshot_20210806-124113_Chrome.jpg



Screenshot_20210806-124113_Chrome.jpg
Screenshot_20210806-123308_Chrome.jpg



Screenshot_20210806-124049_Chrome.jpg


Screenshot_20210806-123944_Chrome.jpg
 
Huu ndo upuuzi aliosema Manara, "Dai kwenye wimbo wako wa kutajwa ni Mo tu" kwa hiyo hwao wachezaji wanamsifua Mo kwq sababu wanampenda au kwa sababu tu Au wanalazimishwa kupost?
Ulitaka wampost mzee kilomoni?
 
Wachezaji wameshajua kwamba ugonjw wa MO ni misifa Sasa ndio wameamua wa mmiminie misifa ya kutosha ili ajisikie vizuri, si ajabu uongozi wa Klabu na wenyewe uka mwaga misifa ili Bwanyenye ajisikie poa.
 
Nafikiri kuna kitu kinaendelea ndani ......hii watakuwa wachezaji wameambiwa kumpost hili ionekane jamaa anaungwa mkono na kila mtu ndani ya simba
yap nayo inawezekana kukawa na msukumo wa wao kupost, lakini hata hivyo in reality huwezi ukapinga efforts za Mo kwenye mafanikio waliyopata simba

Kama simba inapata mafaniko basi mtu wa kwanza kupewa shukrani ni MO
 
Back
Top Bottom