Appreciation posts za wachezaji wa Simba kwa Mo Dewji

Appreciation posts za wachezaji wa Simba kwa Mo Dewji

Maskini wee tajiri kalazimisha hadi wachezaji wamsifie ajisafishe safishe kwa tuhuma za manara
 
Nafikiri kuna kitu kinaendelea ndani, hii watakuwa wachezaji wameambiwa kumpost hili ionekane jamaa anaungwa mkono na kila mtu ndani ya Simba
Unafikiri simba inaendeshwa Kama masiasa yenu ya kiccm ?
 
Wachezaji wameshajua kwamba ugonjw wa MO ni misifa Sasa ndio wameamua wa mmiminie misifa ya kutosha ili ajisikie vizuri, si ajabu uongozi wa Klabu na wenyewe uka mwaga misifa ili Bwanyenye ajisikie poa.
Nadhani kuna bonus ktk hili
 
Kuchkuch anafawafanya mazezeta,

Kajaza matangazo ya kampuni zake kwenye jezi halafu anasema hataki faida na yakija makampuni mengine anayawekea figisu,ili kampuni zake tu ndio zitangaze
Hebu tutajie matangazo matatu ya Mo yanayopatikana kwenye jezi ya Simba kwa pamoja.
Acha kuwa msukule wa manara.
 
Nafikiri kuna kitu kinaendelea ndani, hii watakuwa wachezaji wameambiwa kumpost hili ionekane jamaa anaungwa mkono na kila mtu ndani ya Simba
Huo ndiyo ukweli Mkuu,yaani wamtukane Boss?
Yaani wamseme Boss?
Manara aliongea ukweli utakaodumu,na utakuja kudhihirika baadae. Leo ngoja wamnange kwanza.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Simba ilianza kutupa raha toka miaka hiyo...nasikitika sana eti leo hii Simba inakuwa hivi...njaa hizi
 
Ukweli wachezaji kumpost mo huu hapa,kumbe aliingia kwenye live ya chama instagram na kumpiga mikwara


 
Njaa mbaya sana .Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya Club ya Simba hili litajidhihirisha msimu mpya ukianza.Kwa sasa kinachoendelea ni kuficha maradhi badala ya kukaa vikao kujadili hali iliyopo na kutafuta suluhisho . Watu wanamuabudu mtu kwa sababu ya Umasikini wao huku chini chini wanalalamika .Muda utasema ligi itakapoanza pale timu itakapopata matokeo hasi yasiyo ya kawaida ndiyo watagundua ndani ya Club mpaka nje kuna shida.Wengine wanapambana kutafuta ushindi na wengine wanapambana kuhujumu ushindi kukomoana na kuonyeshana umwamba .Ile kauli ya kusema Simba Nguvu Moja haipo tena.Tujiandae kwa hilo kwani mficha maradhi kifo umuumbua.Muda utasema
 
Back
Top Bottom