Nadhan kama wanataka kweli hi michuano iwe meaningful, wanatakiwa ku outsource unaffiliated waamuzi wa mchezo kutoka nje ya nchi especially when it comes to robo finals na semi na final
Otherwise nchi kama APR hawatokuja
And why hawaweki VAR
ndio maana sisi Yanga tulistuka mapema hii michiano ni kupoteza nguvu za players wetu
Tulikuwa tunajilazimisha hata kushinda
Yan we were not into it
Injinia ndio aliongea na kocha kuwa kuna haja ya kurud dar wachezaji wakapumzike…..
tumesha wajaribu. Ndio maana tukajitoa na the following morning tuliondoka ZANZIBAR