APR Imehujumiwa. Tukitaka kuendelea kisoka, Watanzania tuache hizi tabia

APR Imehujumiwa. Tukitaka kuendelea kisoka, Watanzania tuache hizi tabia

Kwanini umeitaja simba sasa kwenye uzi wako. Ni kwamba una mahaba sana na mnyama au una chuki kuliko na mnyama hahaaa
 
APR Hatuwezi kushiriki tena hii michuano

Ibaki kuwa ni michuano ya Znz
 
Ndo mjue nyie Utopoko....gongowazi hamna akili mmetolewa na APR kwa mpira mzito eti mmeamua kuwaachia kuwaachia kina nani...u
 
Nadhan kama wanataka kweli hi michuano iwe meaningful, wanatakiwa ku outsource unaffiliated waamuzi wa mchezo kutoka nje ya nchi especially when it comes to robo finals na semi na final

Otherwise nchi kama APR hawatokuja

And why hawaweki VAR

ndio maana sisi Yanga tulistuka mapema hii michiano ni kupoteza nguvu za players wetu

Tulikuwa tunajilazimisha hata kushinda

Yan we were not into it

Injinia ndio aliongea na kocha kuwa kuna haja ya kurud dar wachezaji wakapumzike…..

tumesha wajaribu. Ndio maana tukajitoa na the following morning tuliondoka ZANZIBAR
Apr alihujumiwa waziwazi, mwisho kocha alikua anatema cheche azam wakakatisha matangazo.
 
Back
Top Bottom