Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kuwa yeye, wa kwenye Dp namfahamu anaishi NkasiWewe ndio huyo wa kwenye dp
UmelewaA professional player can’t fight na mwamuzi
Hatutaki vijana wa hovyo EPL, akacheze
Ngoma
Hata Ihefu haiwawezi ?, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo
Apr alihujumiwa waziwazi, mwisho kocha alikua anatema cheche azam wakakatisha matangazo.Nadhan kama wanataka kweli hi michuano iwe meaningful, wanatakiwa ku outsource unaffiliated waamuzi wa mchezo kutoka nje ya nchi especially when it comes to robo finals na semi na final
Otherwise nchi kama APR hawatokuja
And why hawaweki VAR
ndio maana sisi Yanga tulistuka mapema hii michiano ni kupoteza nguvu za players wetu
Tulikuwa tunajilazimisha hata kushinda
Yan we were not into it
Injinia ndio aliongea na kocha kuwa kuna haja ya kurud dar wachezaji wakapumzike…..
tumesha wajaribu. Ndio maana tukajitoa na the following morning tuliondoka ZANZIBAR