Wazili wa ulinzi na mkuu wa majeshi wajiuzuruuuu
kikwete tunataka kuona wahusika wanawajibishwa kwa uzembe wa hali juu
Unadhani kuna kitu kitafanyika hapo? TZ hatuna utamaduni wa kujiandaa kukabiliana na maafa ila tuna utamaduni wa kuandaa maafa. Eh! Mwenyezi Mungu, aibu hii hadi lini?hapa ndio tutaona ufanisi wa kitengo cha maafa ofisi ya waziri mkuu