April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

It is supposed to be broadcasted all over the country na TBC1 ndio inakamata kwingi why hawarushi au ni kwa kuwa waandishi wa habari wanatakiwa wakae mbali? Mbona mareporters wa Ulaya huwa wanareport hata kwenye hatari?
 
nadhani wanabodi hamkumsoma robot tokea mwanzo wa thread hii.
nilikuwa mkutano UNESCO ambapo milipuko ilikuwa inatikisa jengo mpaka wadau wakawa wanahofu kubwa tu watu walitaka kujirusha ghorofani.
poleni wa mbagala.
 
BBC wameiweka website yao

_44532666_breaking_226x170.gif



BBCNews


Badala ya kuwa ITV,TBC,Star TV (Tanzania television) eti Kenyan TV sijui lini tutafika kila siku mamba ya kwetu hadi wapitie Kenya tushachoka
 
Wakuu,

Nchi imevamiwa huko?Naomba mnipe Update za tukio lenyewe..Nimeona BBC hapa kuwa nenya ndiyo wameripotui hii??wat the hell is TBC na redio zingine

Isije ikwa hujuma na uvamizi?Yaani ni juzi tu nilikuw anasoma maneno ya mwanakijiji kuhusiana na tahadhari ya majanga,Je kuna vifaa vya kuzuia huo mlipoko
 
kweli f-i-k-s-i-m-a-n, unajua priority za habari za kiataifa kati ya private v/s government owned media? au TBC ndo biashara yenu?
 
Umefika wakati wa serikali kuwa kali kuhusu mipango miji kwani gharama inayofuatia nani atalipa, mtu ambaye kibanda chake kimeungua nani atamlipa, watu waliokufa maisha yao yataliliwa na nani?

Haya yote yanatokana na laxity ya serikali mtu anajenga karibu na kambi ya jeshi kiwanja akijapimwa wao wanamuacha anajenga anaanza kukaa wakati wanajua wanamabomu yanayoweza kuathiri km. 25

Kambi nyingine pamoja na hii ziamishiwe nje ya mji kwani gharama zake ni kubwa sana kwa serikali yenyewe na wananchi hasa wa kipato cha chini.

Poleni mliopata mtafaruku maana nilipata kichaa niko library ughaibuni nasikia Dar kichapo wakati familia hipo huko kupiga simu hawapatikani kuanzia za mkononi mpaka za landline, nashukuru nimewapata wako salama salimini.

Last wiki tuliongelea kuhusu kuruhusu ujenzi wa majengo makubwa bila kuendeleza kitengo cha majanga ofisi ya waziri mkuu, sasa wataweza kukabiliana na maafa kama haya?
 
Wazili wa ulinzi na mkuu wa majeshi wajiuzuruuuu

kikwete tunataka kuona wahusika wanawajibishwa kwa uzembe wa hali juu
 
Kuna watu wanaiba mabomu yaliyodondoka, TZ kweli hatari, wengine wanayazunwanashangaa
 
Invisible,

Kuna watu wametolewa kwenye majengo, hususan maeneo ya mjini, lakini hawajui kinachoendelea kama walioingia JF mida hii ulipo break the news to the rest of the country and the world. Fikiria kuanzisha chombo cha habari, utakuwa bora kuliko kina Ballile, na ITV na Ulimwengu and all of them media clowns wa Bongo.

Ila itabidi utueleze, umepataje security clearance ya kupewa briefing kwamba kutakuwa na milipuko, kana kwamba ni forewarning ya ballistic tests, katikati ya jiji, duuu...
 
Wazili wa ulinzi na mkuu wa majeshi wajiuzuruuuu

kikwete tunataka kuona wahusika wanawajibishwa kwa uzembe wa hali juu

Kwanini wajiuzuru??wewe unadhani ni nani wa kwanza kujiuzuru??kuna mu mmoja unamuogopa?

Collective Responsibility
 
Jamani nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu mtoto wake amepoteza maisha, kweli ni hali ya hatari sana
 
Invisible tunashukuru sana kwa hii "Taarifa" (nina sababu ya kuiweka kwenye quotes). Matumizi haya ya mtandao yadumu.

Bali jamani, je hii ni ajali tu?? au.....
Ilikuwaje ikajulikana kabla haijatokea??

Ninamaswali na dukuduku nyingi??
 
hapa ndio tutaona ufanisi wa kitengo cha maafa ofisi ya waziri mkuu
Unadhani kuna kitu kitafanyika hapo? TZ hatuna utamaduni wa kujiandaa kukabiliana na maafa ila tuna utamaduni wa kuandaa maafa. Eh! Mwenyezi Mungu, aibu hii hadi lini?
 
Back
Top Bottom