Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
nipeni ushauri nifanyeje?
Kuwa kama tony almeda na Jack Bouer....kaa uko uko....special task force watakuja kukuta na Mr.Hoges.
Madam President akiruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipeni ushauri nifanyeje?
niko changombe ni balaa!Kwa wale mlio Dar,
Kutakuwa na milipuko flani mnaisikia. Ni mabomu ambayo yanalipuka eneo la kambi ya Jeshi Zakhem - Mbagala.
Hii inaweza kupelekea mitikisiko isiyotarajiwa.
Nimefahamishwa ili nitoe tahadhari hii mapema. Nini kinaenedelea? Tutafahamishana
Pale zilipo balozi za Uingereza, Ujerumani na Uholanzi karibu kabisa na ubalozi wa Canada na Norway. Ni maeneo ya Posta Mpya kama unaelekea International House na HolidayInn (Sasa Southern Sun Hotel).
mhh... ataelewa kweli?? tehe tehe tehe
Nani akuvamie we Fundi Mchundo???Nchi imejaa wezi,mafisadi na wanafiki wadhani kuna mtu ana tamani kuja kutuvamia??Hii milipuko ni ya makusudi au ndiyo tumevamiwa?
jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka
nasikia watu wamekimbilia makanisani. ha ha ha.
Kizuiani , Kibondemaji , zakiem na Mbagala kuu ndio sehemu zinazozunguka hiyo kambi...nipo kwenye Google Earth mida hii, natafuta hiyo kambi ya jeshi ilipo kabla sijatangaza msiba hapa... kuna jamaa zangu wengi tu mitaa ya Mbagala kizuiani, na Rangi tatu.
Mwenye 'data' anijuze...wapi ilipo hiyo kambi.
ITV wamekua wa kwanza kutupa visual news...TBC wanaonyesha tamthilia ya KIFILIPINO!!!
Hii kali!ITV wamekua wa kwanza kutupa visual news...TBC wanaonyesha tamthilia ya KIFILIPINO!!!
'Huge blasts' rock Tanzania city
An army base on the outskirts of the Tanzanian city of Dar es Salaam has been rocked by huge explosions, according to reports.
Kenyan television reports say several people have been killed and a police commander confirmed at least one death in the blasts at Mbagala.
The shockwaves are said to have been felt throughout the city.
It is not yet clear what could have caused the incident in the largely peaceful East African nation.