Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja house ni wapi?
FP mswalie mtume,...roho tamu, teremka baba!
jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka
jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka
wewe jamaa ni mwehu ila hujijui tu maana unaleta utani kwenye issue ambayo siyoooo...kuaa mtu wangu..jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka
Opposite na ubalozi wa sweden upande mwingine ni ubalozi wa norway
Wakubwa hadi sasa kuna taarifa ya watu kumi wameshapoteza maisha kwa mshitukon na nyumba kadhaa zinaendelea kulipuka kwa mabomu kwani yanaangukia kwenye mapaa ya nyumba hizo. Watu wote wanashauri kutoka kabisa maeneo hayo. Kamanda kova kathibitisha vifo vya watu wawili. Jamani hali ni mbaya sana Mbagala yote nyeupe watu wamekimbia kabisa makazi yao.
Waziri wa Ulinzi amedai kuna uwezekano wa mabomu mengine kuendelea kulipuka na kuleta madhara makubwa zaidi. Wameambieni watanzania wenzetu waliohuko kama bado wapo wasikaribie maeneo hayo kabisa.
Umoja house ni wapi?
Pale zilipo balozi za Uingereza, Ujerumani na Uholanzi karibu kabisa na ubalozi wa Canada na Norway. Ni maeneo ya Posta Mpya kama unaelekea International House na HolidayInn (Sasa Southern Sun Hotel).