April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

Wakubwa hadi sasa kuna taarifa ya watu kumi wameshapoteza maisha kwa mshitukon na nyumba kadhaa zinaendelea kulipuka kwa mabomu kwani yanaangukia kwenye mapaa ya nyumba hizo. Watu wote wanashauri kutoka kabisa maeneo hayo. Kamanda kova kathibitisha vifo vya watu wawili. Jamani hali ni mbaya sana Mbagala yote nyeupe watu wamekimbia kabisa makazi yao.

Waziri wa Ulinzi amedai kuna uwezekano wa mabomu mengine kuendelea kulipuka na kuleta madhara makubwa zaidi. Wameambieni watanzania wenzetu waliohuko kama bado wapo wasikaribie maeneo hayo kabisa.
 
jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka
 
FP mswalie mtume,...roho tamu, teremka baba!

Mie sifungi biashara yangu hapa Mbagala. Maisha magumu. Nipo nyumba ya ghorofa moja huku huku kama KM 5 toka eneo la tukio.

Poa poa wakuu!
 
Ni kweli mimi niko maeneo ya mabibo saa hizi nimeskia nikahisi labda ni radi tuu,so nini hasa kinaendelea wakuu ?
 
jamani mimi niko kwenye gorofa mnanishaurije nitoke au nibaki naona wengine wote wametoka

...sasa wote mkishuka nani atahadithia kilichojiri? bakia hapo hapo ulipo (kama 'RAMBO') !
 
Umoja house ni lile jengo la EU, Ubalozi wa Ujerumani, British high commission na ubalozi wa uholanzi
 
mnazidi kumchanganya, Umoja house hapafahamu, sembuse sijui ubalozi wa Sweden, mara sijui Norway.........huko ndo kabisaaaaaa!
 
Mpaka Mbezi Beach wamesikia mtetemeko, yaani ni mabomu toka mbagala tu au kuna other mother nature catastrophe? lakini hakuna maafa makubwa? tuhabarishane.

Catastrophe
 
Wakubwa hadi sasa kuna taarifa ya watu kumi wameshapoteza maisha kwa mshitukon na nyumba kadhaa zinaendelea kulipuka kwa mabomu kwani yanaangukia kwenye mapaa ya nyumba hizo. Watu wote wanashauri kutoka kabisa maeneo hayo. Kamanda kova kathibitisha vifo vya watu wawili. Jamani hali ni mbaya sana Mbagala yote nyeupe watu wamekimbia kabisa makazi yao.

Waziri wa Ulinzi amedai kuna uwezekano wa mabomu mengine kuendelea kulipuka na kuleta madhara makubwa zaidi. Wameambieni watanzania wenzetu waliohuko kama bado wapo wasikaribie maeneo hayo kabisa.

watu wengi wa mbagala wanatumia tigo mtandao wa tigo saa hizi ni utata mawasiliano
 
hivi kuna umbali gani toka hapo mbagala mpaka vingunguti? usijekuta dhahma hii inaendelea ilhali pale uwanja ewa ndege shughuli kama kawaida...!
 
Umoja house ni wapi?

Pale zilipo balozi za Uingereza, Ujerumani na Uholanzi karibu kabisa na ubalozi wa Canada na Norway. Ni maeneo ya Posta Mpya kama unaelekea International House na HolidayInn (Sasa Southern Sun Hotel).
 
mhh... ataelewa kweli?? tehe tehe tehe
 
Pale zilipo balozi za Uingereza, Ujerumani na Uholanzi karibu kabisa na ubalozi wa Canada na Norway. Ni maeneo ya Posta Mpya kama unaelekea International House na HolidayInn (Sasa Southern Sun Hotel).

Nimeshafika pale mara nyingi tu. Ila hilo JINA ndo nilikuwa silijui.

Mi ninapaitaga EU House. Pale kwenye matuta kabla na baada ya jengo kama unaelekea Int Hse au Southern sun.

Jamani mi ni wa Mbagala!
 
Back
Top Bottom