yaani kama mimi ning'ekuwa mwanafunzi wako basi zero ing'enihusu yaani sijakufa hamu tumia lugha rahisi ilinikuelewe au hutaki nikuelewe maana siyo lazima nikuelewe pia...duniani!!
mwenye mapenzi haoniiiiii...ingawa macho anaayooo!!
Asate.
Vipi bado yanaendelea kulipuka?
Jamani aacheni muhimbili imejaa damu watu zaidi ya 50 wamekatika miguu na mikono.......asilimia 25 ni watoto wa shule ya msingi iliokuwa karibu na mlipuko....
aaaaaaaaagh, my God..umewaona au umeambiwa daaaa mbona inatisha na je unataka kuniambia wanafunzi wa St Mary..Jamani aacheni muhimbili imejaa damu watu zaidi ya 50 wamekatika miguu na mikono.......asilimia 25 ni watoto wa shule ya msingi iliokuwa karibu na mlipuko....
yaani kama mimi ning'ekuwa mwanafunzi wako basi zero ing'enihusu yaani sijakufa hamu tumia lugha rahisi ilinikuelewe au hutaki nikuelewe maana siyo lazima nikuelewe pia...
Sisikii kitu, niko mbali kidogo lakini mjini. Yalivyoanza kulipuka madirisha yalikuwa yanatikisika, nikajua ni radi limepiga nje. Wanafunzi wawili confirmed dead according to ITV, watu 100 wamepelekwa hospitali ya temeke na wengine muhimbili.
ooohhhhhh yes, Sasa nimekupata kaka asante.nafikiri rais analaumiwa kwa kuchelewa kuwatuliza wananchi....na pia kwa kuwa na watendaji wabovu ,ambao hawawezi hata kujuwa silaha zilizoisha muda!!
nafikiri na yeye ana sehemu ya lawama...hasa ikizingatiwa yeye ni askari..tulimtegemea kuwa mzuri zaidi kwenye usmamizi wa majeshi yetu...
Asate.
Vipi bado yanaendelea kulipuka?
https://jamii.app/JFUserGuide it nimerudi tena niko kwenye gorofa ya 12 ....nje watu kibao
milipuko iketokea Mbagala sasa nashangaa mjini tunaambiwa tuondoke
walinzi hawajui kama nimerudi my life will continue as normal ...ikifika usiku ntatazama Arsenal wanawafunga Man U
Atakuwa Arusha si kuna mkutano wa EAC.kwani rais yupo dar?
mbona jupo kimya?
kwa sasa mambo shwari ila wanadai bado kuna milipuko mingine,hatujui itakuwa saa ngapi.
nani wa kulaumiwa???
Kweli tuna omba Ma-Webmaster wa JF watusaidie kuweka option hiyo, maana watu kama GT wako wengi wana kera kweli..Mods,
Hivi hakuna uwezekano wa kuweka option ya KULAANI post i.e opposite ya THANKS?
Please!please tuwekeeni hii option, post kama hii ya GT inabidi kuilaani (the opposite of Thanks).......kuna member nafikiri Rwabugiri alishaomba hii kitu naona kimya tu!
Huyu GT ana matatizo ya akili.....(hopeful)!