April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

vipi milipuko mingapi imetokea?

Na je inaendelea au imeshaisha? Info plz sipo bongo
 
Na hao walioingia mitini na mabomu wanategemea nini?????? wabongo bwana, hawakawii kwenda kuyauza, majambazi wakatumia kuvamia mabenki.
 
Kwa taarifa nilizonazo wakazi wa Mbagala wametakiwa WAHAME...na baadhi ya familia tayari zimeanza kuhamishwa....

matokeo yake WIZI mkubwa siku ya LEO unatarajiwa kutokea...

Inna lillah wainna ilaihi Rajiuun....
 
Jamani Mungu awasaidie wahame bila kupoteza mali wala maisha yao!!
 
Yaani tunasikitisha sana tu watu wa aina gani tusiojua hatari?. Mtu anayachukua mawazoni mwake anawaza ni chuma chakavu atauza apate pesa sasa ikimlipukia sijui tutasemaje na anahatarisha maisha ya watanzania wengi wakaao Dar
 
nafikiri ile stori ya mjeshi aliyemwaga mbio akihema ina ukweli ndani yake hebu endelea kutupatia huo uondo. Nchi tumezoea kukaa kihasara hasara sana. Hebu fuatilia utuhabarishe zaidi
 
Ningemshauri GT atoke huko ghorofani anakosema yupo, apande gari aelekee huko Mbagala!
 
Vipi milipuko inaendelea?

up dates plz.

Naskia kuna bomu moja ambalo lina mlipuko mkubwa zaidi litalipuka baada ya masaa kadha.... haijulikani mida gani!!....

Mkuu Invisible,
Can we have updates on fatalities?
 
Huyu Rais nae anatia mashaka,Idd Amin alipovamia Tanzania angekuwa huyu jama ndiye Rais basi Kagera leo ingekua ni ya Uganda.I"m sick and tired of you Mr.President
 
Thanks DMUSA

Mi nataka kuona wazili wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanajiuzulu,

Huu ni uzembe wa hali ya juu, Kama kweli Kikwete ni amiri jeshi mkuu ilibidi atupe maelezo
 
du mbagala
 

Attachments

  • 1241008101_img_0631.jpg
    1241008101_img_0631.jpg
    38.9 KB · Views: 57
Huyu Rais nae anatia mashaka,Idd Amin alipovamia Tanzania angekuwa huyu jama ndiye Rais basi Kagera leo ingekua ni ya Uganda.I"m sick and tired of you Mr.President
sijakupata mkuu, kwani rais kafanya nini? kwenye hii issue..
 
https://jamii.app/JFUserGuide it nimerudi tena niko kwenye gorofa ya 12 ....nje watu kibao

milipuko iketokea Mbagala sasa nashangaa mjini tunaambiwa tuondoke

walinzi hawajui kama nimerudi my life will continue as normal ...ikifika usiku ntatazama Arsenal wanawafunga Man U

Kwanza,Mods naomba mcheki hii lugha hapa haina nidhamu
 
sijakupata mkuu, kwani rais kafanya nini? kwenye hii issue..

Hata kimbunga Ctrina kilipokumba marekani,bush alichelewa hivi. Rais hata angekua ametoa tamko,huyu si rais mwenye nidhamu kwa wananchi wake
 
Back
Top Bottom