April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

An ammunition dump on the outskirts of the Tanzanian city of Dar es Salaam has exploded, causing a huge fire, panic and the ordering of a mass evacuation.

Kenyan television reports say several people have been killed and a police commander confirmed at least one death from the blasts at a Mbagala army base.

Shockwaves were felt throughout the city amid at least three explosions.

The authorities have advised workers around the city to vacate their offices, warning of further blasts.

Officials said the army planned to set off another huge explosion in an effort to contain the smaller blasts.

'Raining fire'

The armoury next to the army camp, which lies 14km (nine miles) outside the city centre, is thought to have contained large amounts of ordnance, including mines and artillery shells.

Several houses in the Mbagala area caught fire from raining debris and at least one person has died, said regional police commander Suleiman Kova.

Our correspondent in Dar es Salaam, John Ngahyoma, says the blast caused a tremor which was felt at the BBC's offices in the city centre near the harbour.

Officials said it was a tragic accident and not a repeat of the deadly terrorist blast that rocked the country's main commercial centre in 1998.

Deputy Minister for Defence and Security Emmanuel Nchimbi has cautioned residents to stay away from the area and to vacate all tall buildings as a precautionary measure.

Soma hapa

Je kunaye anayejuwa kama kweli? Tuelezeni jamani!
 
Kova anasema kuwa hali inakuwa shwari tofauti na asubuhi na wote walio katikati ya jiji waendelee na shughuli zao. Watu wa Mbagala wameombwa waendelee kufuata maelekezo.

Majeruhi watatibiwa bure, nyumba zilizoharibiwa watafanyiwa utafiti na serikali itasaidia.
Kwenye nyumba ambazo mabomu yamedondokea wameshauriwa kureport polisi wasijaribu kuyashusha toka juu ya nyumba zao.

Pia kuna mabomu mengi yaliyofunguka bila kulipuka na inasemekana watu wameyaokota na kwenda nayo kusikojulikana na uwezekano mkuu ni kuwa yatalipuka baadae.

Mtu asijeenda nalo Kariakoo au kupanda nalo daladala

Jamani jamani.. maulana tu aingilie kati!
 
Je wizara husika itatoa fidia? basi na hapo utasikia kuna wahanga toka tegeta!!!!! But seriously serikali kupitia wizara husika lazima itoe msaada kwa wathirika hapo hakuna mjadala.
 
Je wizara husika itatoa fidia? basi na hapo utasikia kuna wahanga toka tegeta!!!!! But seriously serikali kupitia wizara husika lazima itoe msaada kwa wathirika hapo hakuna mjadala.

Kulingana na taarifa ya Kova watalipwa fidia baada ya kufanyiwa tathmini
 
Hata kimbunga Ctrina kilipokumba marekani,bush alichelewa hivi. Rais hata angekua ametoa tamko,huyu si rais mwenye nidhamu kwa wananchi wake

Rais aseme nini? AIBU TUPU.

Yeye kama amiri jeshi mkuu, wajibu wake ni kuakikisha usalama wa wananchi wake, kama viongozi aliowachagua wameshindwa kazi ndogo tu kutunza vitu nyeti kama mabomu yasilipuke ya nini kuendelea kuwapa kazi hawa viongozi?

Rais Kikwete tunataka kuona wazili wa ulinzi, mkuu wa jeshi, na viongozi husika wa kambi ya jeshi la mbagala wanapigwa chini. wameshinwa kasi
 
Hii ndio Tanzania, kila kona kuna uzembe. Hivi kitu Sensitive kama Jeshi linazembea kiasi hiki!! Tutafika kweli huko tuendako??????
Siri imefichuka. Hata watu wa nje sasa wanajua kwamba sio viongozi tu ndo wamelala bali hata jeshi. Mungu tunusuru!
 
Rais aseme nini? AIBU TUPU.

Yeye kama amiri jeshi mkuu, wajibu wake ni kuakikisha usalama wa wananchi wake, kama viongozi aliowachagua wameshindwa kazi ndogo tu kutunza vitu nyeti kama mabomu yasilipuke ya nini kuendelea kuwapa kazi hawa viongozi?

Rais Kikwete tunataka kuona wazili wa ulinzi, mkuu wa jeshi, na viongozi husika wa kambi ya jeshi la mbagala wanapigwa chini. wameshinwa kasi
Yeye kama Amiri Jeshi Mkuu, kazi yake ni kuvisha nishani tu.
 
Kamishna wa Operesheni wa Polisi, Paul Chagonja
: "ninachotaka kuwaambia ni kwamba watu wawe cool, watulie, hakuna madhara makubwa sana yatakayotokea kwa ajili ya mali zao na maisha yao."

Mwandishi: "Lakini Kamanda, kuna wengine wanasema kuna watu watatu wamekufa"

Kamishna: "ni mapema mno kuzungumzia kuhusu hilo, kama ulivyoona, hali hii imetokea sasa hivi, muda mfupi uliopita, kwa hiyo hatujui kama ndani kuna watu..."

Sasa kama hujui kama watu wanakufa au watatu washakufa, kwa nini umejileta kwenye mic kusema hakutakuwa na madhara kwa maisha? Umejuaje hilo? Au maisha ya hawa watatu sio madhara makubwa? Hivi hii generation ya viongozi wa leo jamani jamani, wanakosa nini, exposure to the outside world, au ni vipi? Duuuuu
 
Yeye kama Amiri Jeshi Mkuu, kazi yake ni kuvisha nishani tu.

Hili swala la mabom kulipuka limeathili uchumi wa tanzania kwa namna moja au nyingine.
Kama kweli anataka wananchi tumpe imani basi, sisi kama wananchi tunataka kuona vitendo na sio propaganda

Tanzania needs a leadership change in every sectar
 
Wajameni, hadithi mbali...NA SIASA MBALI

Hali sio nzuri kabisa kwa wakaazi au wenye ndugu na maafiki maeneo ya karibu na milipuko
- Baadhi yao wamepoteza ndugu na mali na waliokwama mjini hawajui watakuta nini majumbani mwao, cha kusikitisha zaidi ni kutokana na we ngi wa eneo hilo kuwa na kipato kidogo na hivyo kukata tamaa kabisa kabla ya kufika mbagala
- Vibaka wanatesa
Utaratibu wa kutathmini utwakuwa mgumu maana hata makazi ya huko hayakupangwa na thamani ya mali zao itakuwa ngumu kuzipata wakati tunanunua used
- wakiwa maskini, kupata haki itakuwa vigumu

JE HUU SIO WAKATI MZURI WA KUFIKIRIA KUHAMISHA MAKAMBI NA KUPISHA MAKAZI YA WATU? NA KAMBI ZIENDE MBALI NA GENERAL POPULATION?

HALI SIO NZURI NA HASA KWA WATU MASKINI ZAIDI WAISHIO MAENEO YALIYOATHIRIKA
 
Kulingana na taarifa ya Kova watalipwa fidia baada ya kufanyiwa tathmini

I hope hakutakuwa na zengwe mana najua bongo kwenye mambo ya tathmini na fidia,kuna kupunjwa na kuambiwa wewe hukuwa mkazi wa hapo na huna hati!!!! Hope all will go well tho
 
I hope hakutakuwa na zengwe mana najua bongo kwenye mambo ya tathmini na fidia,kuna kupunjwa na kuambiwa wewe hukuwa mkazi wa hapo na huna hati!!!! Hope all will go well tho

Hiyo hapa kwetu haitakosekana si unajua tunavyotekeleza ile methali sijui msemo wa Kufa kufaana?. utasikia hata viongozi wanaoishi Masaki wamelipwa fidia ya maafa haya we subiria tu Mkuu
 
Jamani aacheni muhimbili imejaa damu watu zaidi ya 50 wamekatika miguu na mikono.......asilimia 25 ni watoto wa shule ya msingi iliokuwa karibu na mlipuko....
 
Mbona dhahama hii tena jamani! Ingawa si kipindi cha kulaumu mamlaka husika, lakini tujiulize, ni sawa kusema hili tukio lilikuwa bahati mbaya? Ni sawa kweli jamani? Kwanini hatuna namna ya kuchukua tahadhari na majanga kama haya? Ufisadi utumalize, hata moto wa mabomu nao??!
 
Viongozi husika ni lazima wawajibike maana huo ni uzembe... na kwa serikali ya kibongo ilivyo.. mi nasubiri kusikia list ya tume ya uchunguzi maaana bongo kwa uchunguzi...mmmmh tupo juu.
 
Back
Top Bottom