Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nililojifunza jana ni kuwa watu wanawezapata madhara kutokana na watu kujifanya kujua. Ilipotokea milipuko mimi nilishuka chini kuangalia kulikoni kwani nipo ghorofa ya nane ktk ya jiji. kufika chini nikakutanan na mtu mwenye hesima zake akidai kuwa yeye ana taarifa sahihi kuwa JWTZ wanafanya mazoezi kwa ajili ya kwenda DARFUR. Akijiamini alisema taarifa hiyo kapewa na kaka yake ambaye ni Brigedia jeshini. Jambo hili siyo kweli labda alitaka tafuta sifa ama aonekane ni well informed. Lakini najua hii yaweza leta madhara siku moja
Inaonekana sisi tunapiga kelele tu atujuhi undani wa mambo, labda sio hivyo tunavyofikiria, labda lilikuwa ni jaribio la mapinduzi,namaanisha labda wanaume walikuwa wanataka kuvamia ghala la silaha na kupata silaha za kuanzia kazi, na inawezekana Mkwere alishabebwa na watu wake wa usalama na kufichwa kwa usalama wake, maana haiwezekani yeye na makamu wake wawe kimya kabisa bila kuongea chochote hili hali yeye ndio amiri jeshi mkuu, na hao wote waliokuwa wasemaji , naibu waziri wa ulinzi na mnadhimu wa jeshi wapo chini yake,
hapa kuna habari nzito tunafichwa, kuna posibility kuwa kuna watu walikuwa wameshavamia hizo silaha kwa hiyo wale wanajeshi watiifu wakatumia mbinu za kijeshi za kulipua hayo mabomu ili yasiwe chini ya hao jamaa( ni dhana tu wakuu)
Susuviri!
Usinitie majonzi huyu Amiri Jeshi si ni Kanali mstaafu wa JESHI au alipewa zawadi ya ukada kama Luteni Makamba? ( Nimekumbaka walikuwa intake moja kule Monduli pamoja na Jaka Mwambi sijui kama Mkuchika alikuwepo)
Si alitakiwa atembelee hapo kuonyesha ujeshi wake! What is important to him ni kwenda kuuza sura Arusha- Namanga kuzindua ujenzi wa barabara ambayo fedha za ujenzi wake anategemea kutembeza bakuli kwa wadosi!!
It's a big shame hiyo fast truck ya federation ni ya nini kama hakuna barabara ya kwenda Nairobi! East Africans acheni usanii!! look at the ugly face of Kibaki!!! Narudia huwezi kujivunia umahiri wa kuomba hivi Kikwete ana akili kwenye hicho kichwa! M7 naye anawania u first presida wa fed !!Why ngangania kumkumbusha kupewa msaada!! ukimwomba mtu kitu ukiona hakupi au ameminya ujue imekula kwako!!!
Huyo Pinda ingekuwa Oysterbay kwa wakubwa au Upanga kwa mabwana zao bunge lingesimama. Lakini kwa sababu Mbagala wanaishi kapuku it's business as usual!!! The tume syndrome shall wapa wanatume heifty allowances lakini itabaki kuwa siri ya jeshi!
Msipoteze muda kumsikiliza huyo chizi Nchimbi na taahira Lukuvi! Je Lukuvi atadhubutu kutusomea CV yake kwanza he has only a formal education unatarajia nini kwa kada wa umoja wa vijana kama yule!! Amezoea kubebwa tu!!
Siwezi kuvumulia another comment kutoka mtu akidai eti JK anastahili kupewa 5 more years!! This was the final straw that broke the camel's back! Kama wabongo mkimchagua kwa kura halali, itabidi wale tusiowapigia kura wasanii hawa tuhame nchi na tuwaachie! Yaani rais wenu na kabinet nzima wamekula pozi mnapopatwa na disaster kubwa alafu mnawarudisha madarakani?! Hii ni aibu sana!