Elections 2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham


Mkuu hili andiko lako lengo lake kubwa nafkiri unataka kutujuza kuwa wewe ni kijana wa Gotham, tumekusikia basi nenda ule posho kwake tena
 
Mimi nilimtembelea mwanzisha mada, nikamkuta ame posti humu mara 13, kati ya hizo posts 13, 9 ni threads alizozianzisha na zote zina mwelekeo ule ule.

  1. [h=3]Pasco[/h]




 
Kundi la Lowassa linafanya Upuuzi mwingi sana
 
Mzee Apson naye hanaakili anazeeka kijinga sana lakini watakapokosa urais ndiyo watakapojikojolea wanadhani hatuoni ujinga wanaofanya.

Kati yako na Apson nani ana akili? Au unacomment ili ufuraishe watu humu mkuu....Angalia chezea hii nchi utakaavyo ila likifikia swala la haao watu wa TISS nakushauri ukae kimya, kuliko kutukana watu bora uendelee na your personal life chief
 
Nimeshangaa sana hiyo propaganda nyepesi dhidi ya Membe kwenye sakata hili
Ayaya!! Ben saanane ni wewe ama nimeangalia vibaya? nini kinakushangaza membe kuhusishwa? Duu!! usitake niamini nilikuwa sitaki kuyaamini kuwa wewe ni kibaraka wa membe. I dont wanna believe it!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Alan,

Kwanza poleni kwa msiba!, kumbe uko na Jack?!, mwambie anasalimiwa na Pasco wa Jf!.

Na wewe, hongera sana kwa kazi kubwa na nzuri inayufanya humu jf!, tangu umejinga humu Tarehe 5 September, 2014, umeisha tuanzishia post humu mara 13, na kati ya hizo, mara tisa ni kutuanzishia threads mpya, ambazo ukisha post, huchangii chochote!, kwa kweli unafanya kazi kubwa sana na nzuri!.

Kwa ambao walikuwa hawakufahamu, ngoja nisaidie kukutambulisha kupitia baadhi ya threads zako!.

Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham-Started by Allan Halid Kiluvia, Today 11:25

Makonda aupinga utafiti wa Twaweza-Started by Allan Halid Kiluvia,

Lowassa atupe jina la Mgombea Mwenza-Started by Allan Halid Kiluvia,

Makonda hakutumwa na Membe-Started by Allan Halid Kiluvia,

Membe awashukuru wote waliomtakia siku njema ya kuzaliwa kwake-Started by Allan Halid Kiluvia,

Membe akitwaa urais, taifa halitayumba-Started by Allan Halid Kiluvia,

Lowassa anaidharau kamati ya Mangula-Started by Allan Halid Kiluvia,

Lowassa ashauriwa asigombee urais-Started by Allan Halid Kiluvia

Diallo apangua hoja za kambi ya Lowassa-Started by Allan Halid Kiluvia


Kuja kufika 2015, kuna watu humu waki consolidate posts, wataandika vitabu!,

Pasco
 
Mimi nilimtembelea mwanzisha mada, nikamkuta ame posti humu mara 13, kati ya hizo posts 13, 9 ni threads alizozianzisha na zote zina mwelekeo ule ule.

  1. [h=3]Pasco[/h]




Mpuuzi tu huyo kwanza hata kuandika hajui.

Hamna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini Membe anaweza kushindana na Lowasa ndani ya Ccm.

Leo umlipuwe Lowasa kwa lipi? Kuna zaidi ya Richmnd? Mbona tangu ameachia uwaziri mkuu nguvu zake zimeongezeka ndani ya Ccm?

Ushauri wa bure asiyemtaka Lowasa Ccm the only way to stop him wamkodi Sniper tu, otherwise ndani ya Ccm hakuna kinyamkela chochote cha kusimama na Laigwan.
 


HATA HIVYO MTURUDISHIE HELA ZETU ZA ESCROW….Hizo bla bla za siasa maji taka hazina mashiko
 

kama unayo ya kusema sema kama huna nyamaza,sasa kama unasubiri muda wa kuchukua form kuna haja gan ya kuja hapa sasa,nyie wapambe wa wanasiasa mnashida sana maana mnaish kwa ahsante za wanasiasa
 

watu wanaojipendekeza kwa politicians wanaish kwa shida sana nchi hii
 

Wewe ndio umetumwaa sasa
 
Kati yako na Apson nani ana akili? Au unacomment ili ufuraishe watu humu mkuu....Angalia chezea hii nchi utakaavyo ila likifikia swala la haao watu wa TISS nakushauri ukae kimya, kuliko kutukana watu bora uendelee na your personal life chief

Mkuu ni kishua sema toka MWAKA juzi kua Ben wa saanane ni kibaraka wa Membe. Na Yericko Nyerere huwa anataka kujiunga mitandao wa lowasa ingawa bado hajafanikisha
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangaa sana hiyo propaganda nyepesi dhidi ya Membe kwenye sakata hili

Na utaendelea kushangaa sna kwasabu hutaki kuamini kuwa boss wako membe ameyafnya hayo,we ndio membe alikuwa akikutumia kupata sir za chadema anakulipa?haiwez acha kukuuma kwasab umelengwa penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…