Elections 2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

Elections 2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

kinyesi.

Wewe huna akili kabisa na kama Membe anawategemea watu bogus kama wewe nampa pole sana.

Ulianza vizuri kueleza dhumuni la safari yenu Dodoma ni msiba ulipaswa ujikite hapo lakini badala yake na wewe umejiingiza kwenye siasa uchwara.

Hivi jitu kubwa zima na akili zako unaota ndoto za mchana kwamba Membe anaweza kumshinda Lowasa kutoa rushwa Ccm ili ateuliwe kuwa mgombea wa chama cha wezi na mafisadi?

Njaa mbaya sana, Membe huyu aliyepata Unec kwa msaada wa Salma Kikwete na na mtoto wa Mfalme leo anawaza Urais? Poleni sana, naona tangu Kikwete awe Rais kila mpumbavu yeyote anadhani anaweza kuwa Rais, wakati mnajiandaa kumlipuwa Lowasa andaeni na maelezo ya pesa za Gadaffi Membe amezipeleka wapi?

Cc: Pasco
 
Acha mikwara ya kitoto, kama kweli unaweza kimlipua unasubiri nini kumlipua? Huna lolote!

Acha kutishia watu wazima nyau. Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine wowote.

Hizi ngonjera zenu za kitoto tumezichoka humu jamvini....tunataka vitendo, sio mnakuja kujitutumua humu wakati hamna lolote.

:flame:chochea kuni
 
JK hakumuandaa Membe kuchukua u Rais ndio maana anatapatapa tu ..Membe ni debe tupu
 
Wewe huna akili kabisa na kama Membe anawategemea watu bogus kama wewe nampa pole sana.

Ulianza vizuri kueleza dhumuni la safari yenu Dodoma ni msiba ulipaswa ujikite hapo lakini badala yake na wewe umejiingiza kwenye siasa uchwara.

Hivi jitu kubwa zima na akili zako unaota ndoto za mchana kwamba Membe anaweza kumshinda Lowasa kutoa rushwa Ccm ili ateuliwe kuwa mgombea wa chama cha wezi na mafisadi?

Njaa mbaya sana, Membe huyu aliyepata Unec kwa msaada wa Salma Kikwete na na mtoto wa Mfalme leo anawaza Urais? Poleni sana, naona tangu Kikwete awe Rais kila mpumbavu yeyote anadhani anaweza kuwa Rais, wakati mnajiandaa kumlipuwa Lowasa andaeni na maelezo ya pesa za Gadaffi Membe amezipeleka wapi?

Cc: Pasco

Hivi wewe kijana matola,Kwa akili yako unafikiri Lowasa ataweza kuwa Rais wa TZ? Kwanini yeye aliogopa kugombea neck kupitia kundi la kifo? badala yake alipitia nafasi za mikoani! kwa nini hakujaribu kupitia kundi la kifo? NB,inaonekana katika maisha yako umekuwa mtu wa kubebwa ,ndo mana unadhani mtu katika siasa hawezi fanikiwa mpaka abebwe,Shame on you!

Membe anajulikana kuwa ni adui wa mafisadi na ufisadi. Kwa hivyo sio ajabu hao wezi wa mali ya umma wakamzushia uongo. Bahati nzuri siku chache zijazo ukweli utajulikana.
Halafu mzee apson umeliibia sana taifa la tanzania.bado hujaridhika tu...una nyumba kila kona ya dunia..dubai, afrika kusini na uingereza. Au mpaka tuanike uchafu wako ndio utatulia?

Aiseeeee
Mungu awahukumu tu
 
Membe anaukichwa gani??

Nenda udsm uwaulize kama Membe alikua kilaza walimbakishaje awe mkufunzi? Vyuo vikuu hubakiza wanafunzi waliofaulu vizuri sana tu kua wakufunzi na Membe alifaulu vizuri sana ndio maana alibakizwa kua mkufunzi ingawa yeye aliamua kwenda ikulu. Pia angemalizaje masters degree John Hopkins university Marekani kwa distinction kama ni debe tupu as you want to make people believe?
 
Hizo sifa mbona za kawaida hata wagombea wengne wanazo...kina muhongo,mwandosya,mwakyembe wasemeje???
 
Tusaidieni.
Membe anasema ujenzi wa kiwanda cha saruji cha Lindi umefikia asilimia 45!
Kwa nini anasema uongo?
Hakuna ujenzi wa kiwanda cha saruji Lindi.
Ipo saiti iliyorundikwa chuma chakavu.
Dola milioni ishirini za Gadafi ziko wapi?
 
Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake, lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata kidogo.

1.Ni kweli Jack Gotham yupo Dodoma na tumekuja pamoja kwenye msiba wa baba yake mdogo marehemu mzee Adolf, tumeingia Dodoma Alhamis usiku saa 6 na tukapitiliza msibani tukakaa mpaka saa 8 usiku ndipo tuliporudi hotelini kujipumzisha.

Jana Ijumaa asubuhi na mapema tumedamka kwenye maandalizi ya asubuhi pamoja na matayarisho ya Ibada ambayo ilituchukua muda mpaka saa 11 jioni ndipo tulipoelekea makaburini kupumzisha mzee Adolf na kutoka makaburi ya eneo la Kikuyu mnamo saa 1 kasoro.

Saa 2 tulikuwa Dodoma Carnival kwa ajili ya chakula tukiwa watu zaidi ya 10 tuliotoka msibani pasipokuwepo na mwanasiasa yoyote katika jumuiko letu.Tumetoka huko saa 5 usiku na kurudi mahotelini.

Najiuliza ni muda gani matukio yote hayo yaliyotajwa yametokea kwa aina hiyo ya shughuli tangu juzi?Ni fabricated story yenye lengo mahsusi ya kutaka kuharibu mahusiano ya muda mrefu ya watu.

Ukweli uliopo ni kwamba yanayozungumzwa ni siasa chafu za kundi la Lowassa linaloongozwa na Apson Mwang'onda aliyekuwa Dg wa Tiss miaka ya nyuma.Hii ni baada ya kugundua kwamba sakata la Escrow litawageukia maana limegusa baadhi ya watu wao kama vile Andrew Chenge.

Pia jiulizeni je wanaoshabikia Escrow isomwe bungeni ni wapambe wa nani?Kangi Lugora,Deo Haule Filikunjombe na Peter Serukamba wanajulikana wazi ni watu wa Lowassa na sio Membe.Wanakosa hoja wanabaki kutengeneza hekaya za kumchafua Membe na Jack Gotham.

Apson Mwang'onda anapaswa aache kuwatumia kina Bashe kufanya na kueneza ujinga huu maana ataumbuka.Asifikiri anamharibia Membe au Jack zaidi wanajiharibia wao na mtu wao.Asitake tuongee ambayo yamebaki kuwa siri kwa nia ya kuepuka mivurugano ndani ya chama na serikali.

Akizidi kujilea katika umri wa ujinga wa uzeeni tutamlipua kabla hata hawajafikiria kumwambia mgombea wao aghairishe kuchukua fomu.
Peleka umbea kule. Unatetea ukuu wa wilaya. Kwendraaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom