mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Kwenye camp la lowassa hatuwez mkubali yerico kwanza ananuka mdomo
Really??? O.M.G katika vitu vilivyofanya siku yangu kuongezeka ni hili. Napita tu jama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye camp la lowassa hatuwez mkubali yerico kwanza ananuka mdomo
kwenye camp la lowassa hatuwez mkubali yerico kwanza ananuka mdomo
Mkuu ni kishua sema toka MWAKA juzi kua Ben wa saanane ni kibaraka wa Membe. Na Yericko Nyerere huwa anataka kujiunga mitandao wa lowasa ingawa bado hajafanikisha
Misiba ya kisasa haina haja ya kuambukizana kunguni mkuu , popote unaweza kulala cha msingi ni kufanikisha mazishi .Mtu aliyefiwa, mtanzania wa asili, anayejitangaza kuwa ni mjukuu wa mwalimu, anaweza kwenda kulala hotelini kwenye msiba wa baba yake?
''Asitake tuongee ambayo yamebaki kuwa siri kwa nia ya kuepuka mivurugano ndani ya chama na serikali''
Dah hii nchi sasa.......Kuna watu wanaweza kuvuruga hadi Serikali?!!!!
2015 ipite salama maana......
Apson Mwang'onda anapaswa aache kuwatumia kina Bashe kufanya na kueneza ujinga huu maana ataumbuka.Asifikiri anamharibia Membe au Jack zaidi wanajiharibia wao na mtu wao.Asitake tuongee ambayo yamebaki kuwa siri kwa nia ya kuepuka mivurugano ndani ya chama na serikali.
Akizidi kujilea katika umri wa ujinga wa uzeeni tutamlipua kabla hata hawajafikiria kumwambia mgombea wao aghairishe kuchukua fomu.
Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake, lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata kidogo.
1.Ni kweli Jack Gotham yupo Dodoma na tumekuja pamoja kwenye msiba wa baba yake mdogo marehemu mzee Adolf, tumeingia Dodoma Alhamis usiku saa 6 na tukapitiliza msibani tukakaa mpaka saa 8 usiku ndipo tuliporudi hotelini kujipumzisha.
Jana Ijumaa asubuhi na mapema tumedamka kwenye maandalizi ya asubuhi pamoja na matayarisho ya Ibada ambayo ilituchukua muda mpaka saa 11 jioni ndipo tulipoelekea makaburini kupumzisha mzee Adolf na kutoka makaburi ya eneo la Kikuyu mnamo saa 1 kasoro.
Saa 2 tulikuwa Dodoma Carnival kwa ajili ya chakula tukiwa watu zaidi ya 10 tuliotoka msibani pasipokuwepo na mwanasiasa yoyote katika jumuiko letu.Tumetoka huko saa 5 usiku na kurudi mahotelini.
Najiuliza ni muda gani matukio yote hayo yaliyotajwa yametokea kwa aina hiyo ya shughuli tangu juzi?Ni fabricated story yenye lengo mahsusi ya kutaka kuharibu mahusiano ya muda mrefu ya watu.
Ukweli uliopo ni kwamba yanayozungumzwa ni siasa chafu za kundi la Lowassa linaloongozwa na Apson Mwang'onda aliyekuwa Dg wa Tiss miaka ya nyuma.Hii ni baada ya kugundua kwamba sakata la Escrow litawageukia maana limegusa baadhi ya watu wao kama vile Andrew Chenge.
Pia jiulizeni je wanaoshabikia Escrow isomwe bungeni ni wapambe wa nani?Kangi Lugora,Deo Haule Filikunjombe na Peter Serukamba wanajulikana wazi ni watu wa Lowassa na sio Membe.Wanakosa hoja wanabaki kutengeneza hekaya za kumchafua Membe na Jack Gotham.

Mkuu umetoa hoja nzito sana na hakika maneno kama haya yanaonyesha Tanzania kama taifa ilivyofika pabaya. Hakika aliyetufikisha hapa kuna siku historia itamhukumu. Eti kuepuka mivurugano ndani ya chama na serikali. Yaani tumefikia mahali kama taifa tunaendeshwa na mtu au watu, yaani si kwamba kuna taratibu, kanuni, miongozo na sheria. Aisee!!!!!
BEN..Nimeshangaa sana hiyo propaganda nyepesi dhidi ya Membe kwenye sakata hili