Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

ahaaa ni bora mzee angetulia kuliko kuendelea kumwaga mapesa.
 
Kinachofurahisha ni kwamba pamoja na Lowasa kuwekwa pembeni na ccm lakini nyota yake bado iko juu
 
Ona jinsi Mbowe anavyopiga dili za hela kupitia chama cha mkwewe. Halafu haya ma ubongo sifuri, Bavicha yanalia humu kuwa hicho Chagadema kitawakomboa. Mungu akunyime vyote akupe walau chembe moja tu ya akili
 
Lizabon nimekudharau sana leo hizi habari ni za uzushi hazina chembe yoyote ya ukweli ulimpinga Lowasa ni fisadi basi hata Magufuli ni fisadi mbona humpingi?Au bilioni 263 kwenye wizara ya ujenzi kuliwa siyo ufisadi?
 
Last edited by a moderator:
Lizabon kuna uzi humu mdau amekkwita ww ndo makonda na wala hukukanusha?...mie sio mpnz wa lowasa lakini kwa jinsi mnavyo mfungulia uzii mpaka masikio yanachoka kusikiliza hiyo single...
Hamna lingine la kuongelea?...hizo stori umeadisiwa na rafiki huna ushahidi unaleta watu wajadili umbeya....mshamkata jina mwacheni aamue mustakabali wa maisha yake...
Alizaliwa pekeyake na atakufa pekeyake.....akisema haondoki ndani ya chama lenu la mafisadi mtasema anaogopa kupotezwa kisiasa,akisema anamuunga mkono magufuli mtamsema anajikomba aje apewe post ya ubalozi au....sasa mkisikia anataka kuondoka mnaingiwa na hofu...mweeee
 
Sumu yako ni kali,wewe ni nyoka mweusi kaka ake na Lucifer,yaani kila wakati unamchimba Lowassa ivi kakukosea nini kikubwa cha ajabu kuzidi wagombea wote
 
Kinachofurahisha ni kwamba pamoja na Lowasa kuwekwa pembeni na ccm lakini nyota yake bado iko juu

Kweli Mr.Nice Guy....mamvi nyota yake imepaa sanaa maana kila kona ya mitandao ya jamii ni lowasa lowasa...humu ndani ndo balaa kila uzi mpya ukiletwa lazima utamhusu lowasa..

mimi sio fan wake hata kura yangu asingepata endapo angepitishwa na ukoo wake wa panya..lakini tumwongelee mambo ya ukweli nnje na hapo jukwaa litakuwa sawa na facebook tunajadili majungu
 

binadamu unaweza kuwa mjinga lakini huwezi kuwa mjinga kama huyu lizabonio!!??
 
ona jinsi mbowe anavyopiga dili za hela kupitia chama cha mkwewe. Halafu haya ma ubongo sifuri, bavicha yanalia humu kuwa hicho chagadema kitawakomboa. Mungu akunyime vyote akupe walau chembe moja tu ya akili

acha kuwa punga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…