Huyo huyo! Nipe tano
Chadema ikimpokea Lowassa ntaifutilia mbali kutoka Kwenye hifadhi ya moyo wangu.
Lowasa ndio rais ajae wa tz
Ona jinsi Mbowe anavyopiga dili za hela kupitia chama cha mkwewe. Halafu haya ma ubongo sifuri, Bavicha yanalia humu kuwa hicho Chagadema kitawakomboa. Mungu akunyime vyote akupe walau chembe moja tu ya akili
Tunafahamiana humu tu. sijawahi hata kumuona. Ni kama tunavyofahamiana na akina MUSSA ALLAN
Lizaboni hivi MUSSA ALLAN alikwi....? Kimya sana, au ndio mipango ya kuhama CCM?Tunafahamiana humu tu. sijawahi hata kumuona. Ni kama tunavyofahamiana na akina MUSSA ALLAN
Huu ufisadi mnaousemaga kuhusu lowasa ni UPI?. Kama ni ule wa Richmond .ile report ya mwakyembe kuna sehemu inasema" jina moja tumeliifadhi kwa maslahi ya taifa".
Mkuu, hata nilipoweka habari kama hizi hapo awali mlibeza ila mwisho wake mkanipigia saluti
Ushahidi gani unauhitaji zaidi ya huu niliokupa? Subiri mkakati utimie
Yupo sana mkuu na kwenye mada hii kachangia. Ila ndo hivyo tena. Mbuyu umeangukaLizaboni hivi MUSSA ALLAN alikwi....? Kimya sana, au ndio mipango ya kuhama CCM?