GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baby girl Aquiline umekufa lakini kifo chako ni moja ya sababu za maandamano ya 26/4. Hii haijawahi jutokea.
RIP Aquiline
Je unadhani ww avatar yako inafaa mtu kubishana na wewe?
Kibasila na Mwaisela mbona ni ndogo sana, huu mtiti Muhimbili na Mloganzila kote kutakuwa na mahema ya dharuraNaona unaendelea tu ' Kuwaponza ' Wenzako ili ' Wakafe ' vizuri hiyo siku Mkuu. Ni matumaini yangu makubwa kwamba utakuwa unaenda kuwatembelea Mwaisela na Kibasila mara kwa mara na pia kusaidia Kuitambua miili yao katika ' Mochwari ' mbalimbali za nchini.
hahaaah, sasa hiyo sio mashine ni "mtambo" hahahahhaShost niiyona hata mimi, hii ndiyo true definition ya mwanaume mashine
haswaaaa!!!!Shost dunia hii
Inasikitisha InaumizaMachozi ya tone la zambarau yalivuja moyoni mwangu, pale wazazi wake walivyosema "Taa iliyokuwa imeanza kuwaka ndani ya familia yao imezima gafla"
Ataendaje wakati kajibanza kwa Trump?Naona unaendelea tu ' Kuwaponza ' Wenzako ili ' Wakafe ' vizuri hiyo siku Mkuu. Ni matumaini yangu makubwa kwamba utakuwa unaenda kuwatembelea Mwaisela na Kibasila mara kwa mara na pia kusaidia Kuitambua miili yao katika ' Mochwari ' mbalimbali za nchini.
Kibasila na Mwaisela mbona ni ndogo sana, huu mtiti Muhimbili na Mloganzila kote kutakuwa na mahema ya dharura
Kwani wasi wasi wenu ni nini waandamaniji si ni sisi na tutakaoumia si ni sisi?
Usichoweza kuamini watu ndo tunamiliki vitu hivyo. Lazima wakaeShost niiyona hata mimi, hii ndiyo true definition ya mwanaume mashine
Msiwe na hofu nyinyi fanyeni yenu na sisi tunafanya yetu