Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Ameedit sahiviKuna mahali kaandika persons hours.
Sawa mkuu. Hapo nimeelewa
Sasa tuje kwenye data kwa mujibu wa taarifa za mleta mada
Watu 11,856
Person - Hours 72,000,000 ÷ Watu 11,855 = Masaa 6,072
Kwa hiyo masaa halisi ni 6,072.
Masaa 24 = Siku 1
Masaa 6,072 = Siku ngapi?
6,072 ÷24 = siku 253
Kwa hiyo kwa siku 253, ikiwa wafanyakazi 11856 walifanya kazi masaa 24 kila siku, kwa siku 253 jumla ya hizo person hours ni 71,989,682.
Mmeamua kujadili masaa badala ya mradi!!mnakosea jinsi ya ku calculate hizo 72 milion hours.
Maana ya PERSON-HOUR ni kipimo cha saa moja ya kazi inayofanywa na mtu mmoja.
Person-hour Definition & Meaning
The meaning of PERSON-HOUR is a unit of one hour's work by one person.
sasa chukua hao wafanyakazi elfu 11 kisha jumlisha masaa yao yote waliyofanyia kazi kila mmoja kwa miaka ya kazi, uone total utapata masaa mangapi
Hapana yuko vizuri kimahesabu halafu siwezi kudumaa akili kwa kumuuliza yeye bali napanua zaidi akil yanguHuyu chat sio wa kumuamini kwa kila kitu mkuu
Ni hesabu tu mbona kwa calculator yako?
Ukiuliza kila kitu na akili itadumaa aisee
Sorry sikuwa na maana mbaya lakiniHapana yuko vizuri kimahesabu halafu siwezi kudumaa akili kwa kumuuliza yeye bali napanua zaidi akil yangu
I knowSorry sikuwa na maana mbaya lakini
Ni kweli aisee. Hesabu sio rahisi, kwa hiyo hazina namna rahisi ya kuzieleza ili wasiojua hesabu waelewe.mkuu hesabu hazifanyikagi kwa urahisi kama ulivyofanya. ndio maana wanaofaulu hisabati ni wachache
hao watu elfu 11 hawakufanya kazi wote sawa sawa kwa pamoja, hivyo sio sahihi kugawanya moja kwa moja kama ulivyofanya.
kwenye hesabu kuna stages ndio maana mtoto wa form one afundishwi intergration,,
engineering inafanywa kwa hesabu zake yaani engineering mathematics. na ili uelewe engineering mathematics lazima kwanza uwe umeshajua Advanced mathematics.
Hebu shuka mashkwadinga hapo mwamba akuelewe😎😎Unajua ni miaka mingapi hii!?
Kwani ndugu, kukabidhiwa ina maana kuwa ndio linaanza kazi rasmi!!???Sina kumbukumbu vzr Ila nakumbuka N.Wazir dotto biteko kama alifungua baadhi ya mitambo lakini sio ya bwawa zima na ndomana hata thread hii imeanza kw mwandish kusema soon bwawa lotakabidhiwa Rasmi. Au sijaelewa sehem?
Umeme wa maji siyo wa kutegemewa mda si mrefu tutaona mgao Kwa kisingizio cha kina cha maji kimepungua,Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga
3. Magari na equipment 1681 vimetumika kusaidia ujenzi
4. Masaa milioni 72 yametumika kwenye kazi ya kulijenga ( person- hours 72 milion hours)
5. Ndio mradi pekee ambao subcontractor tu, alikuwa anapewa kazi na kulipwa zaidi ya trilioni.
6. Ndio engineering project ilioleta mizigo mizito kuliko yote kuwai kufika africa mashariki. unakuta Mzigo mmoja tu una tani zaidi 200, sheria na kanuni za tanroads hawaruhusu kupitisha mizigo mizito sana barabarani ila kwenye bwawa walikaa kimyaa kama hawapo vile. Traffic wakiona gari limebeba mzigo wa bwawa tu hawaombi hata leseni ya dereva maana wanajua kibarua kitaota nyasi
7. ndio mradi pekee ulioonesha kwamba taasisi za serikali zinaweza kufanya kazi kwa spidi maana zilifanya kazi kwa spidi ya hali ya juu, bwawa lipo porini mbugani ila siku ambayo mkataba ulisainiwa, mkandarasi aliwaambia anataka akute maji safi site, umeme uwepo site, hospitali iwepo site
wizara ya maji ilitandika mabomba na kufikisha maji safi site kati kati ya pori fasta fasta wakati Dar tu kuna sehemu kibao maji safi hayajafika kwa miaka 60, tanesco nao walitandika nguzo za umeme na kufikisha umeme site fasta fasta, Tazara na yeye alifufua stesheni ya Fuga na kujenga kota za wafanyakazi wa tazara haraka haraka.
8. ndio mradi pekee ambayo serikali iliziba masikio kelele za wazungu, UN, UNESCO , WORLD BANK waliongea maneno yote ila hakuna kilichobadilika
screen shot kutoka website ya unesco 17 april 2020
View attachment 3237536
Kama nchi haikutumii wewe ndugu Ndalilo , tunapata hasara sana.Ni sababu nzuri, nakubali.
Watumiaji walioungwa kwenye mfumo walikuwa ni wengi kuliko uzalishaji, hii ndio ilikuwa hoja nambari moja.
Wakati huo miundombinu ilikuaje?
Transmission lines, una maanisha grid sio?
- Ina maana tuliamua kujenga Power Plant ya 2.115GW tukitegemea transmission line iliyopo?
- Msongo wa kilovolts ngapi unasafirishwa kutoka Bwawani? 400 au 220?
- Tanesco walikuwa na mpango wa kusambaza umeme kupitia 33kV/0.4kV badala ya 11kV/0.4kV, walitekeleza hili?
Kama walifanikisha, sioni shida inatokea wapi, maana unapofanya maboresho ni lazima uzingatie future.
Hivi, substation za kupooza kutoka njia kuu, huwa zinajengwa kila mkoa au wilaya? Najua Dar zipo kadhaa, mikoani ikoje?
- Hakuna namna kukawa na substation ya mkoa, kama ni ya zamani, ikaboreshwa/upgraded kupokea umeme mkubwa na kusambaza kwingineko kwa ku-cover eneo lote la mkoa?
Kama mikoa yote haijaungwa kwenye grid, hiyo ni changamoto! Na ndio maana Grid huwa inaanguka mara kwa mara, maana grid sio ringi...mwaka jana mwishoni, imepiga chini mara kadhaa.
Kuna binadamu anaweza kufanya kazi 24hrs kwa siku 250+?Sawa mkuu. Hapo nimeelewa
Sasa tuje kwenye data kwa mujibu wa taarifa za mleta mada
Watu 11,856
Person - Hours 72,000,000 ÷ Watu 11,855 = Masaa 6,072
Kwa hiyo masaa halisi ni 6,072.
Masaa 24 = Siku 1
Masaa 6,072 = Siku ngapi?
6,072 ÷24 = siku 253
Kwa hiyo kwa siku 253, ikiwa wafanyakazi 11856 walifanya kazi masaa 24 kila siku, kwa siku 253 jumla ya hizo person hours ni 71,989,682.
Haiwezekani mkuu. Ni makisio tu ili kupata mchanganuo wa hesabu.Kuna binadamu anaweza kufanya kazi 24hrs kwa siku 250+?
Si kweli 8 years ni masaa 72 elfu8yrs
Miaka 8000+Si kweli 8 years ni masaa 72 elfu
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENAMuda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga
3. Magari na equipment 1681 vimetumika kusaidia ujenzi
4. Masaa milioni 72 yametumika kwenye kazi ya kulijenga ( person- hours 72 milion hours)
5. Ndio mradi pekee ambao subcontractor tu, alikuwa anapewa kazi na kulipwa zaidi ya trilioni.
6. Ndio engineering project ilioleta mizigo mizito kuliko yote kuwai kufika africa mashariki. unakuta Mzigo mmoja tu una tani zaidi 200, sheria na kanuni za tanroads hawaruhusu kupitisha mizigo mizito sana barabarani ila kwenye bwawa walikaa kimyaa kama hawapo vile. Traffic wakiona gari limebeba mzigo wa bwawa tu hawaombi hata leseni ya dereva maana wanajua kibarua kitaota nyasi
7. ndio mradi pekee ulioonesha kwamba taasisi za serikali zinaweza kufanya kazi kwa spidi maana zilifanya kazi kwa spidi ya hali ya juu, bwawa lipo porini mbugani ila siku ambayo mkataba ulisainiwa, mkandarasi aliwaambia anataka akute maji safi site, umeme uwepo site, hospitali iwepo site
wizara ya maji ilitandika mabomba na kufikisha maji safi site kati kati ya pori fasta fasta wakati Dar tu kuna sehemu kibao maji safi hayajafika kwa miaka 60, tanesco nao walitandika nguzo za umeme na kufikisha umeme site fasta fasta, Tazara na yeye alifufua stesheni ya Fuga na kujenga kota za wafanyakazi wa tazara haraka haraka.
8. ndio mradi pekee ambayo serikali iliziba masikio kelele za wazungu, UN, UNESCO , WORLD BANK waliongea maneno yote ila hakuna kilichobadilika
screen shot kutoka website ya unesco 17 april 2020
View attachment 3237536
Umeme wa maji siyo wa kutegemewa mda si mrefu tutaona mgao Kwa kisingizio cha kina cha maji kimepungua,